Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,967
Mi wala siumii napentaSana
Hii haijakaa sawa.
Kuna nyingine mbaya zaidi zinavuka mipaka jamani.
Mi wala siumii napentaSana
Hii haijakaa sawa.
Kuna nyingine mbaya zaidi zinavuka mipaka jamani.
View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Nenda YouTube utavunjika mvbavuWamemtengenezaje kwenye hiko ulichokiqoute? Maana naona taarifa ya Marekani juu ya rais wa Tanzania tu.🤔
Huu mtindo wa torture ni wa kizamani na ndio unaotumika sasa kuwaadhibu wakosoaji. Kwa wakenya imeshindikana maana ubalozi wa Kenya ulianza mdogo mdogo kufuatilia.....Huwez wahifadhi watu bila kosa or mambo ya kisheria, hayo unayotaka kufanya ungefanya in 70s na 80s yes ingewezekana
But dunia ime advance sana, the moment umewatoa nje kufanya activity yoyote ile kazima wataonekana some how some way na taarifa zitavuja
Problem with that itatengenezea nchi maadui wasio wa lazima na majirani
Ohooooo. Hizo za kikubwa sasa itakuwa balaaaa. 😂🤣🤣Uwezo mdogo angeachia tu nchi yetu. Mwisho wataanza kumchora za kikubwa
Wenye dhambi ni wale wanaoua wanaobaka wanaopiga wenzaoila watu wana dhambi wallah.
😂😂🤣 Wamempatia sana aisee.
#FREE TUNDU LISSUHuu mwaka wake....🤣
Ngoja niende 😆Nenda YouTube utavunjika mvbavu
Aaah kubababee atajua hajuiWamchore mara ngap? 4days usiku walituma kibonzo.anafuck na Jpm na miromance juu..naked.ila asbh zinakua hazipo..wewe ingia YouTube usiku mkali utashaa
Unyani kwa kipindi cha speech yake kwa sasa nadhani ni uchawaMtikila anamaanisha kwamba bado tupo pale pale tulipokuwepo miaka 60 iliyopita...
OyeeeKenya hoyeeee
Bila kumsahau mafweleNa ICC ijiandawe kupokea WATUHUMIWA.....
View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Anamjua hadi Swabaha Mchachu😂😂😂😹😹😹 Ila nimecheka kwahiyo nyani unajua mpk majina ya waimba taarabu?