View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Chawa tunataka tuone nguvu yenu kumnasua Mama yenu na hiki kibano