Sasa Kama anataka kutimiza jambo lake we unaona kuzima taa ni ishu kubwa, [emoji3][emoji3][emoji3] Wanawake wengine akili zenu bwanaHuwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.
Stay safe champs
Kipi Tena[emoji849]
screen za CCTV unazo ngapiNi sawa huko kwenye mifugo na bwawa la samaki weka CCTV camera ili wanapofanya magumashi uwaone. Mie nina mabanda ya Kloiler nimefunga camera
Ipo kweli asilimia kubwa ya wanaume wanapelekeshwa lakin siwezi kubali huo upuuziHakuna kurogwa, unajikuta ume deep tu
Kwa hiyo hapo mmeshaanza kugegedana au bado anakulainisha ?Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.
Stay safe champs
Ubungo Riverside mwishoooooSi kila kiandikwacho kinalenga muandishi, sometimes tunaoingia wengine
Sasa hiyo K ipo kwa nan? Na huyo muhusika bila K angekua mwanamke? HahahahahYeah. Ni K sio mwanamke
Huyu jogoo kaamua kutaste something elseMbona jogoo hapelekeshwi View attachment 1550231
Ule uhalisia tu wa mke kumwita 'mume/mtu wangu', inathibitisha umiliki na hivyo tayari hakuna ugumu mbele ya mwanamke. Mnaporidhiana, mtapelekeshana tu kwa njia moja au nyingine.Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.
Stay safe champs
Naomba nije kwako unitume nikazime taaHuwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.
Stay safe champs