Hakuna mwanaume ambaye hapelekeshwi na mwanamke

jannelle

JF-Expert Member
Feb 8, 2020
536
1,003
Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.

Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi, vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.

Stay safe champs
 
Mbona jogoo hapelekeshwi
tapatalk_1598453737957.jpeg
 
Back
Top Bottom