Mtafutano wa mwanaume mwenye pesa, mwanamke mwenye hekima na jitihada

Nov 6, 2016
93
221
KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA

Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA

Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume wanaowatafuta na moja ya kigezo ni awe na hela, mimi mtu ambae natafakari mambo nilijiuliza unaposema mtu mwenye hela, hizo hela ni sh ngapi? zinatakiwa kuwa wapi? bank? cash? asset? au mzunguko?

Je wewe unayesema mwanaume awe na hela unazo akili za kuthibithisha aina na idadi ya pesa mtu alizonazo?

WANAWAKE WA HIVI HUWA WAISHIA HUMU
1. Sikujua kumbe alikuwa mume wa mtu
2. Yule mwanaume kumbe ni shoga hela alikuwa anapewa na bwana zake
3. Kumbe alikuwa jambazi
4. Kumbe alikuwa anatunzwa na mwanamke
5. Kumbe zilikuwa pesa za mirathi, pension, fidia, au pesa za wizi.

UHUSIANO UNADUMU KWA MIEZI 2. PESA ZINAKATA MNAANZA KUTAFUTANA, HAPOKEI SIMU, NA MAMBO KADHAA.

Mimi sikatai mwanaume na mwanamke katika dunia inayokwenda kasi kama hii lazima uwe na pesa, ukiwa na pesa nyingi ni nafuu zaidi lakini ukiwa na pesa za kukutosheleza mahotaji yako ni sawa pia ilimradi ufurahie kiwango cha maisha, lakini usikubali kumpa nafasi mwanamke ambae anakuja kwako kwa sababu una pesa, yaani ukisikia mwanamke kaweka hicho kigezo piga chini faster, ukimpata ambae hajaweka hicho kigezo mpokee alafu usilale piga kazi upate pesa umtunze.

JE WEWE MWANAMKE UNAYETAKA MWANAUME MWENYE PESA UNAJUA NA MWANAUME ANATAKA MWANAMKE WA AINA GANI

Wakati wewe unataka mwanaume mwenye pesa na mwanaume mwenye pesa ( mwanaume yoyote snayejishughulisha pesa anayo, ukiona anakutongoza basi pesa anayo, ni kiwango gani anajua yeye na Mungu wake ), na mwaume mwenye pesa anatafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo.

1. Mnyenyekevu
Mwanaume yeyote anatafuta mwanamke anayenyenyekea, anayeheshimu, mkarimu, msikivu,

2. Mwenye Jitihada
Mwanaume pia huhitaji mwanamke ambae tayari ana mipango pia, unakuta mwanaume anatongoza mwanamke anakuwa hana hata nauli ya kuja kwako, hana hela ya kula, hana kodi, hana ada, sasa unajiuliza ivi huyu mwanamke hakuwa na maisha kabla ya tongozo langu, ni wanaume wachache wenye ujasili wa kudate wanawake kama hawa, yeye nauli tu hana ila anataka mwanaume wenye pesa.

MWANAMKE SHTUKA, WANAUME WAZEMBE KABISA WAMEBAKI WACHACHE SANA UKIONA MTOTO WA MJINI UNAMLETEA PIGO HIZO NA AMEUCHUNA JUA KWAMBA ANAPITA TU, HAKUNA MWANAUME MJANJA ANAYEPENDA STRESS ZA WANAWAKE

NDIMI
Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
0785670227
 

Attachments

  • Forever Comrade3.png
    Forever Comrade3.png
    2.5 MB · Views: 5
Nje ya mada,

Mwandishi wa hiyo makala anajiita King of all social media
Je cheo hicho alipewa na nani? amejuaje kua yeye ndio King of all social media? katumia vigezo gani,

Yangu ni hayo tu,wahusika watakuja kuchangia mada husika.
 
Nje ya mada,

Mwandishi wa hiyo makala anajiita King of all social media
Je cheo hicho alipewa na nani? amejuaje kua yeye ndio King of all social media? katumia vigezo gani,

Yangu ni hayo tu,wahusika watakuja kuchangia mada husika.
Ni taahira Fulani hivi, andazi la CCM, linauza maspika Kariakoo. Yale makelele ya Kariakoo yamemuharibu akili, anayaona makelele ndio ma social media
 
Back
Top Bottom