Hakuna mwanaume ambaye hapelekeshwi na mwanamke

Kichwa chini kikianza kufanya kazi. Kichwa cha juu kazi yake ni kutii tu
Kazime taa tulale, kifuatacho ITV ni kichwa cha chini kuongea.
Haha hapelekeshwi?? Zile mbio mbio huwa huzishuhudii ati? Au huyo jogoo broiler
 
Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.

Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.

Stay safe champs

Usemalo ni kweli kabisa ila kuna kipande chengine umesahau kikisema ......
 
Unamwambia nani akazime taa? yani nizime taa ili ukimbilie kuwahi kulala ukutani
 
Akili za umaskini tu. Mie natumia rice cooker, bathroom water heater, wash and dry machine, mtu akipiga hodi namwangalia kwanza kwenye gate screen na namfungulia kwa remote. Mpaka feni nazima kwa remote. Na mazoezi nafanya kila siku
hilo gate la remote itabidi nilitafute
 
Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.

Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.

Stay safe champs
Usharogwa sio!?
anipelekeshe amenizaa?
 
Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.

Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.

Stay safe champs
Kwa hiyo muheshimiwa yaani haupendi hata tujiliwaze kwa kutanua mbavu?Aaaaah tuache aiseee!
 
Back
Top Bottom