Hakuna mwanaume ambaye hapelekeshwi na mwanamke

Hakuna mwanaume ambaye hapelekeshwi na mwanamke

Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.

Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.

Stay safe champs
[emoji1787][emoji1787] amri inatekelezwa kwa kiroho safi kabisa. Amri inayokuwa inasubiriwa kwa hamu itoke.
 
Ukitaka USIPELEKESHWE na mwanamke fanya hili..

Mtafute Mh.Mbunge Mwana FA na umpe kisu Kabisa halafu "ATAKATA" na kutupa MTO MSIMBAZI.....
 
Jana nimepiga binti wa watu kichwa sijui kama leo kaamka,sipendagi ujinga kabisa.
 
Back
Top Bottom