Akili za umaskini tu. Mie natumia rice cooker, bathroom water heater, wash and dry machine, mtu akipiga hodi namwangalia kwanza kwenye gate screen na namfungulia kwa remote. Mpaka feni nazima kwa remote. Na mazoezi nafanya kila sikuUvivu huo, nadhani kiasili Raha ya taa uamke ukaizime
Naunga mkono hoja....[emoji23][emoji23]
ukomee 🤣 🤣Taa haizimwi mpka tukaguane vipele na makovu,
Show za gizan sihitaji nshakutana na mkanda wa jeshi live
msaada tafadhali... mkanda wa jeshi mdyo nini?Taa haizimwi mpka tukaguane vipele na makovu,
Show za gizan sihitaji nshakutana na mkanda wa jeshi live
Tunajua kunahizo Appliances na tunatumia,Bt tunaongelea taa hapa ujueAkili za umaskini tu. Mie natumia rice cooker, bathroom water heater, wash and dry machine, mtu akipiga hodi namwangalia kwanza kwenye gate screen na namfungulia kwa remote. Mpaka feni nazima kwa remote. Na mazoezi nafanya kila siku
[emoji1787] Sasa wewe unalako jambo
So waliosema zaidi ya papuchi hamna kingine mnaweza ku offer wapo sawa?[emoji1787][emoji1787]
Kitaalam inaitwa Kaposis sarcoma ni saratan flan hv ya ngozi mara nying inawatokea wenye upungufu wa kingamsaada tafadhali... mkanda wa jeshi mdyo nini?
Kwani k wanazo wanaume?"Kazime taa tulale", ninadhani ulitakiwe useme hakuna mwanaume asiyepelekeshwa na K (Papuchi).
unaweza kuzima taa ukakuta unamenya fenesiTaa haizimwi mpka tukaguane vipele na makovu,
Show za gizan sihitaji nshakutana na mkanda wa jeshi live
daah! noma sana. shukrani mkuu Pharm D kwa kunijuzaKitaalam inaitwa Kaposis sarcoma ni saratan flan hv ya ngozi mara nying inawatokea wenye upungufu wa kinga
NB: sio kila muathirika lazma aipate na sio kila anaeipata ni muathirika ila asilimia kubwa wanaoupata huwa ni HIV+
Katika maisha vya bila taa vinahesabika kwangu. Ukiniambia kazime tulale nalala kweli maana najua nisha nyimwa. Siwezi kufanya chochote taa ikiwa imezimwa, lazima nione kulivyo nisijeyavagaa matope.Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je? Maana mimi naicount kama command tu.
Stay safe champs
Kwani k wanazo wanaume?