Duh! kwa hiyo na mie nitakuwa kwenye kundi la wabaya, lol
But pussy qualitywise Unaweza kukuta pindi chana is better than the rest LOL
we acha tu yani. kuna mwingine alisema wanawake wasomi wanatongozeka kirahisi sana. huyu wa leo wabaya.heheh acha yani wanawake tuna kazi bestii looh,ukisoma sana shida,usiposoma akishakutumia imekula kwako,bora visomo vitabaki vitufariji dada...
Ngabu ikibidi uchague mmoja tu utachagua yupi?mimi naona Dorothy
Kwahiyo we umemuona Amina Chifupa peke yake?Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.
Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.
Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.
Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.
Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.
So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
Kwani we mzuri?Ndo nyie kundi lile la ma lecture.Heheheeee.... Na hii PHD yangu...!!!!!!!!!
Muke ya muzungu iyo toa hiyo,hai fit hapo.Ideally labda inatakiwa iwe hivyo lakini in actuality haiko hivyo kabisa.
Hivi unadhani kukiwa na hafla sehemu halafu kwenye waalikwa wakawemo Ngozi Okonjo-Iweala, Wema Sepetu, Kidoti, Linda Express, Missy Temeke, Anna Tibaijuka, Muke ya Muzungu, Pindi Chana, Juliana Shonza, Dina Marios, Isha Mashauzi, Khanifa Maulid, na Jokha Kassim......
Nani kati ya hao unadhani ata turn heads na kuombwa namba ya simu?
Mkuu Ngabu binadamu sisi ni watu wa ajabu sana!wengine wanakwambia Lupita Ny'ong'o ni mrembo,mi siwaelewagi ujue?But pussy qualitywise Unaweza kukuta pindi chana is better than the rest LOL
Huyo mwenye kigauni "anafaa kwa matumizi ya binaadamu"!Masogange wetu hapo kushoto mwenye kigauni
![]()
Picha pleas kusupport utetezi wako.Mtoa mada acha uongo
Mbona mi nina masters na im planing kuanza phd
In fact nipo mrembo aiseee
Picha pleas kusupport utetezi wako.
Mkuu Ngabu binadamu sisi ni watu wa ajabu sana!wengine wanakwambia Lupita Ny'ong'o ni mrembo,mi siwaelewagi ujue?
Source;BBC
Duh! kwa hiyo na mie nitakuwa kwenye kundi la wabaya, lol
Wakenya ndugu zangu mnaponzwa na jeuri yenu isiyo na msingi. Kujiona nyinyi matajiri ili hali mu maskini imewafanya waTz tusite kuungana nanyi.
Wengi wa wakenya ni mithili ya bwana Njonjo! Wanajivunia visivyo na maana; kiingereza(lugha ya kikoloni), utajiri ambao ni wa wachache(wengi hoi kuliko hata watz) nk.
Wakenya iingie vichwani mwenu kwamba ujamaa ambao tulikuwa tunaufuata umeleta mafanikio makubwa sana kijamii, japo kiuchumi haukutupeleka mbali. wengi mnaubeza sana mkidai umetufanya wavivu. Makala nyingi za bwana Obo(east african) zimekuwa zimelenga kutukebehi sana! Nataka kuwaeleza kwamba tunasita kujiunga na EAF kwa sababu zifuatazo:
1. Hatuna uhakika sababu zilizowafanya mvunje EAC ya kwanza bado zipo au la. Akina Njonjo Kenya wameisha? Obo na wenziwe wengi mbona wako kinjonjo njonjo?
2. Tz tumetumia muda na rasmali nyingi sana kujenga umoja, mshikamano na moyo wa kitaifa na kufutilia mbali ukabila. Kenya hili hamkulipa kipaumbele kabisa na jamii yenu ni ya kimakundi ya kikabila sana. Hamuoni mtaturudisha nyuma kuanza kuhangaika na vitu hivi badala ya kujikita kuhangaikia uchumi?
Angalia makampuni ya Kikenya yaliopo Tz, yanaajiri wakenya tu na ukifuatilia kwa undani hata hao wakenya ni kabila moja!
3. M7 anatia doa demokrasia ya EA, kuungana naye ni kutaka matatizo ya kugombea madaraka, ukizingatia ametamka hata huo uboss wa EAF anautaka. Jadi hiyo hatuna Tz.
4.Rushwa Kenya ni mdudu sugu ambaye atahitaji gharama kubwa kumng'oa. Wakenya wamuondoe kwanza kabla hatujaingia EAF.
Mwisho nasema Tz bado haiko tayari kuingia EAF. Naaamini hivyo.