Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Kwa sample size gani ya population ipi ilikupelekea ku conclude hayo?

Hadithi hiyo inatufundisha nini?
 
You can't be serious Man!!Huyu ni mrembo?Sikutamani kuchangia huu Uzi lakini kwa Post hii imenikera.

It is normal my friend, we all cannot see things in the same way. Hakuna mwanamke atakaekubalika kuwa ni mrembo kwa kila mtu duniani. Ni kanuni ya maisha jamaa yangu.
 
Kuna degree za chupi kwa sasa, walengwa ni wale wenye mwonekano mzuri, ukienda kwenye usaili ni hvyohvyo, wanaangaliwa wenye makalio makubwa na mwonekano mzuri.
Kuna Uvumi unaendelea mtaani hivi sasa, "Mwanamke mwenye makalio makubwa anajiamini kuliko mwanamke mwenye Digrii"...
 
Kweli kabisa mkuu, live example.. Prof Ndalichako, Prof Tibaijuka, Jennifer Mhagama, kuna lectures kibao mavyuoni kama pale SAU.. Hao wrote ni sura ngumu
 
Wazir wa mashaur ya kigeni wa kenya unamfahamu??????
Tafta picha yake.
Kenyatta na ugumu wake pale alimsahau first lady
Nimemuona ni wa kawaida sanaaaaa! Dr Monica Juma Au unamaanisha yule msomali Amina Chawahir Mohamed Jibril waziri wa michezo? Kwa hiyo kila msomali shombeshombe, chotara au mhabeshi kwako ni mzuri? Alichosema mtoa post ni ukweli ingawa kakosea kusema hakuna. Ila ukweli 90% ya wanawake warembo hawasomi sana kwa kuwa wana kitega uchumi urembo, ukikuta mwanamke mwafrika ana shepu nzuri na sura, ana digrii zaidi ya moja labda katoka familia ya wasomi kasoma kwa shinikizo la wazazi. Ila in every general rule there is an exception walio wengi warembo hawasomi na hata wakisoma wanatoa rushwa ya ngono kwa wahadhiri au wanafunzi wenzao vipanga, hawajishughulishi! Wasomi ni minority sana!
 

Attachments

  • images-40.jpg
    images-40.jpg
    14.3 KB · Views: 6
  • images-56.jpg
    images-56.jpg
    6.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom