King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,774
![]()
![]()
MANAGING DIRECTOR OF SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORITY
Hawa ndio wazuri sio huyo bibi wa ssra
View attachment 64151
View attachment 66686
![]()
![]()
MANAGING DIRECTOR OF SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORITY
Mtoa mada acha uongo
Mbona mi nina masters na im planing kuanza phd
In fact nipo mrembo aiseee
Unamaanisha waafrika tu au na wazungu pia
Mtoa mada acha uongo
Mbona mi nina masters na im planing kuanza phd
In fact nipo mrembo aiseee
una urembo gani wewe?
Nafurahi kutambua hilo, uko wapi nikutafute?
Hahahaa haaaa
Asitake kutuambia hakuna wasomi warembo bana
Wapo sana tu
We unataka urembo gani?
Mwee..,yani wenzio wanapekecha vichwa kujua hoja za msingi za kujadili kumbe wewe unasafisha macho kuangalia wazuri ha ha ha Bunge la katiba Hoyeeeeee!Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
![]()
![]()
MANAGING DIRECTOR OF SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORITY
Mtoa mada acha uongo
Mbona mi nina masters na im planing kuanza phd
In fact nipo mrembo aiseee
sura nzuri..figure bomba.
Mambo yamebadilika sana, maisha mazuri yanaletwa kwa nguvu yako mwenyewe, wadada wengi waliligundua mapema sana. Uko wapi msomi?