Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

sio kweli mkuu.....mke wangu ana Master ya kutibu Meno na yuko Bomba tu! kama unataka picha sema
 
Mh,Prof.mama Anna Tibaijuka ataombwa namba, mie huwa namzimikia sana, vipi Rose Migiro
Ideally labda inatakiwa iwe hivyo lakini in actuality haiko hivyo kabisa.

Hivi unadhani kukiwa na hafla sehemu halafu kwenye waalikwa wakawemo Ngozi Okonjo-Iweala, Wema Sepetu, Kidoti, Linda Express, Missy Temeke, Anna Tibaijuka, Muke ya Muzungu, Pindi Chana, Juliana Shonza, Dina Marios, Isha Mashauzi, Khanifa Maulid, na Jokha Kassim......

Nani kati ya hao unadhani ata turn heads na kuombwa namba ya simu?
 
irene-isaka-oct7-2013.jpg

SSRA.jpg


MANAGING DIRECTOR OF SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORITY
 
Nakubaliana na mleta hoja hii IPO especially kwa wasichana wazuri waliozaliwa kwny familia maskini coz miluzi inakuwa mingi mpk inafkia kipindi anashindwa kuhimili presha ya wanaume.....mi binafsi hya yashamkuta dadangu akiwa form 3 hali ilikuwa mbaya sana yaan akiwa ilifikia kipindi akiwa anatoka shule anakutana na njemba zimepaki magari zinamsubiri sometym washikaji mpk wanazua ugomvi kiss cster

kuna watu hapa wanajitoa ufahamu
 
Acha dharau kwa muumba wako. Sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Hakuna mwanadamu mbaya! Ubaya uzuri unauona kwa macho yako. Hujawahi kusikia kazi ya Mungu haina makosa? Binadamu wewe mbona unataka laana kwa kukosoa uumbaji wake Mola?

we kwa maono yako(out of God) mionekano yetu inafanana? au umeamua kuongea tu?
 
Mtoa mada acha uongo
Mbona mi nina masters na im planing kuanza phd
In fact nipo mrembo aiseee
 
Hamna kitu
Wabaya kila kona kwanza wabishi tatu nadharia za ufeminism zimewajaaa tano wanajidai kuwa nao ni wanaume... Saba wanamaumbo feki hata ukimgonga hupati raha yaani unawaza kukosolewa tu.. wanapenda pesa na vitu vya thamani 11 hawaaminiki
 
😀😀😀 mbona umefurahi hivyo jamaniiiiiiiiiii? Dokta una vituko wewe!!😀😀😀😀😀😀😀😀😀 koh koh koh koh
xiexie sikuelewa wanaposema mwanamke mzuri wanamaanisha mwenye maumbile mazuri na kishtobe??😕
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom