Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

But pussy qualitywise Unaweza kukuta pindi chana is better than the rest LOL

Oh yeah....I'm in agreeance with you there.

Ubora wa hiyo kitu hauwi determined kabisa na mwonekano wa nje wa mmiliki wake....teh teh teh.....

You are fool for this one man:smile-big::smile-big::smile-big:. Yaani nimejikuta nacheka tu uncontrollably.
 
Maan..umewasikia wale wakenya watatu?ivera sidika.carozon na Dorothy?

Man...their bodies are wonders to behold!

Halafu kuna huyu Mghana...Peace Hyde

Peace-Hyde3.3.jpg
 
Sandeni

Kwa kusoma sana unakusudia nini?
Na kwa uzuri unakusudia nini?

Una miaka mingapi?
 
Last edited by a moderator:
Wapo,tena yumo humu jf,ana degree 4,akianza kudadavua mambo utapenda! Anaitwa JULIANA SHONZA
 
Ngabu ikibidi uchague mmoja tu utachagua yupi?mimi naona Dorothy
 
Kuna mahali niliona 'beauty gets the eyes but personality gets the attention', ni kweli?

Ideally labda inatakiwa iwe hivyo lakini in actuality haiko hivyo kabisa.

Hivi unadhani kukiwa na hafla sehemu halafu kwenye waalikwa wakawemo Ngozi Okonjo-Iweala, Wema Sepetu, Kidoti, Linda Express, Missy Temeke, Anna Tibaijuka, Muke ya Muzungu, Pindi Chana, Juliana Shonza, Dina Marios, Isha Mashauzi, Khanifa Maulid, na Jokha Kassim......

Nani kati ya hao unadhani ata turn heads na kuombwa namba ya simu?
 
Back
Top Bottom