Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
sio kweli
Wewe ni mzuri na umesoma?ni pm
sio kweli
sio kweli
sio kweli mbona mie niko mbali kama mtu una nia na kitu flani uka work hard utakipata tu haijalishi sura wala nini
Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.
Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.
Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.
Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.
Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.
So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
Unamaanisha waafrika tu au na wazungu pia
ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.
Wengi huishia kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.
Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na wengine phd's.
Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.
Marehemu amina chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.
So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
Haste generalization...
Nafikiri hapa anamaanisha waafrika tuu,
Wapo wengi tu, ukienda CASS hupo UDSM mwenyewe utasadiki, kuna watoto kama hawaendi haja kubwa vile...have a look at Jokate...
Bachelor degreejokate ana degree ngapi??
jokate ana degree ngapi??
najiamini mm ni mzuri na nilishapata mchumba wa kunioa mara tuu nimemaliza kidato cha sita... but niliona nisome kwanza and now am persuading my master studies, working,owning a small bizness and very much independepnt kwa uwezo wake maanani... my take is wapo wanaofka mbali na uzuri wao babaa.

ndiyo msomi huyo? kwanza jokate mwenyewe sura tu. figure hata mwallu ni bomba
am asking?