Na wewe ganda lako naomba kulifungua
Unazeeka vibaya; hizo viagra zitakuja kuwapoteza kama Abacha!!
Na wewe ganda lako naomba kulifungua
Nakupenda,sio kweli mbona mie niko mbali kama mtu una nia na kitu flani uka work hard utakipata tu haijalishi sura wala nini
Prof. Ndalichake.Duh! Kweli maprofesa wa kike wana sura za kazi. Kwa mfano: Prof. Relax Mwasu, Prof. Juice Kidalichake, Prof. Anitha Treatment nk...
ww utakuwa muhangasio kweli
mkuu upo nje ya mada kabisa...Uzuri wa mwanamke upo wapi? Na uzuri unaoonhekewa ni mwonekano tu? Hakuna uzuri wa akili/ndani?
haha shost basi kama una phd we mbaya sio mzuri...kwa mujibu wa thread hiiHeheheeee.... Na hii PHD yangu...!!!!!!!!!
Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
Hongera kwa kutafuna mtoto mkali na degree zakeWapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
mkuu. ngoja nikuibiee siri wabaya wanalinga kwa sababu wana competion kubwa yaani wanatongozwa sanaa .kuliko wazurii ..wanaume wengi huwa wanatabia ya kujishtukia na kuhofu kuwa watapigwa vibutii na kujijazia sababu kedekede za kujiogopesha kama ..aaahh huyo ni classic, aah sina hela. aa siyo hadhi yangu... Kwa kumalizia wanawake wazuri ni wepesi sana kwa sababu wanatongozwa mara chache sana.. angalia hata vyuoni uta prove.. Mfano mwingine haujawahi kukutana na mwanamke mzuri ukampenda ila ukaogopa ukaambulia kumsindikiza tu kwa macho..Wanawake wasio na Sura nzuri ukiwatongoza wanagoma kabisa... ila wenye sura nzuri twende... ndio maana kale kamsemo kapo na hakaishi ka kusema sura yenyewe wala shepu huna lakini unaringa ringa...
Dah mkuu so ulimla huko huko bunge la katiba. Wee ni noumerWapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.