Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.

Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.

Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.

Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.

Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.

So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.

Wewe una elimu kiwango gani?

Ulikua unaingia madarasa ya philosophy kweli? Kama una degree.

OK! inaweza kua sio makosa yako ni ufinyu wa utambuzi wa mambo.

Uzuri sio universal, sio unachokiona kizuri kila mtu duniani atakiona kizuri

Uzuri sio objective ni subjective. Uzuri haupo katka kitu bali upo kwa yule anayetazama kitu.

Ukisema Cassanova mzuri, haimaanishi dunia nzima itamuona mzuri kwa sababu ule uzuri uliouona unatokana na tafsiri yako ambayo sio wote wanakua nayo as far as we are rational being.

Wanawake wasomi na warembo wapo wengi tu. kusema kuwa wanawake warembo hawana elimu kubwa hiyo ni fallacy.
 
Hujamuona Kijaji, Piga hesabu ujana wake alikuwaje?
 
Nakubaliana nawe asilimia mia moja kamili(100% ). Hakuna ubishi hapo kutoka kwangu

Huu utafiti umefanyia wapi? Kama sample yako ni vijiji vya wilaya yako matokeo yake hayawezi kukupa uhalali wa kugeneralize matokeo kwa jimbo au hata nchi yako!!! Kuna wanawake wengi tu wazuri ambao si tu kuwa wamesoma vizuri bali hata ndoa zao zimedumu na wana familia za kupendeza!!
 
Back
Top Bottom