Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.

Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.

Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.

Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.

Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.

So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
Mungu hawez kukupa yote! hii dunia yetu sote! nina demu mzur wa chet ila masikin yete ni bendera hufuata upepo amesahau kuwa hakuna malefu yasiyona ncha! there is depreciation state! i wiss see her endless beutul
 
Nakubaliana na mleta hoja hii IPO especially kwa wasichana wazuri waliozaliwa kwny familia maskini coz miluzi inakuwa mingi mpk inafkia kipindi anashindwa kuhimili presha ya wanaume.....mi binafsi hya yashamkuta dadangu akiwa form 3 hali ilikuwa mbaya sana yaan akiwa ilifikia kipindi akiwa anatoka shule anakutana na njemba zimepaki magari zinamsubiri sometym washikaji mpk wanazua ugomvi kiss cster

njemba hazikubena kweli
 
Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
Anyway,habari za Sengerema mkuu?
 
In real life ni wachache sana wanaothamini uzuri wa akili na tabia.

Watu wanavutiwa zaidi na visuals na ndo maana unaona kuna cosmetic surgeries, wonderbras, bootypads, lipstick, etc.

Ass, titties, hips, thick lips, fake hair, eyebrows, etc., ndo vinavutia machoni mwa watu.

Sapiosexuality just ain't that sexy.
Hatari sana,American boy.
 
Masogange wetu hapo kushoto mwenye kigauni

ceda8018dac711e2a6df22000aaa21db_7.jpg
American boy,huyo mwenye kimini naona cellulite zimemuharibia bhana.
 
Siyo kweli kabisa wapo wanawake wazuri sana kwa umbo, sura, tabia na akili za shule na maisha pia wamejaliwa na wamepandisha madarasa yote na kuyamaliza.

Tuache dhana potofu kwamba wanawake wazuri wote waliosoma basi elimu yao hawakuipata kihalali.

Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.

Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.

Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.

Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.

Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.

So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
 
Kwahiyo mlikuwa mnasagana au? Maana Kama sikuelewi kwenye picha yako umeweka avatar ya ke!
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,we sokwe ni balaa,hahaaaaa naomba nikutumie round nzima ya beer,uko ya ngapi saa hii,yaani Simiyu anaonekana demu,hahaaaaaaa,sijawahi kucheka kama leo mkuu,basi acha nimuendee pm,naweza opoa toto la Kisukuma la Kinyantuzu haaaaaaaaaaaaa,hii ni 2017,sokwe ubarikiwe bhana.
 
Mmmmhhh haya bana,
kuna ukweli kwa mbaliiii hapa Tz,
But kwenye nchi nyingine kama USA,UK,RSA n.k hakuna hiki kitu...
Hivi Nicki Minaj, Kim Kardashian, Selena Gomez, Rihanna hivi wamekwenda shule ya kutosha au ndo vile kama kina Sepenga?
 
Kwahiyo mlikuwa mnasagana au? Maana Kama sikuelewi kwenye picha yako umeweka avatar ya ke!
We sokwe,mkuu nilikuwa sijui kama wewe comedian aisee,nakupa like na nitakuwa sichezi mbali na post zako,hahaaaaaaaa,hapa nilipo nakunywa pombe,nilikuwa namalizia ya mwisho,lakini post yako imenifanya niagize 4 zingine,sasa naomba hebu vugumiza jiwe lingine bhana.
 
Back
Top Bottom