Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,382
- 13,194
Mzuri me Simuachi na hata nikimsindikiza basi soon ataliwamkuu. ngoja nikuibiee siri wabaya wanalinga kwa sababu wana competion kubwa yaani wanatongozwa sanaa .kuliko wazurii ..wanaume wengi huwa wanatabia ya kujishtukia na kuhofu kuwa watapigwa vibutii na kujijazia sababu kedekede za kujiogopesha kama ..aaahh huyo ni classic, aah sina hela. aa siyo hadhi yangu... Kwa kumalizia wanawake wazuri ni wepesi sana kwa sababu wanatongozwa mara chache sana.. angalia hata vyuoni uta prove.. Mfano mwingine haujawahi kukutana na mwanamke mzuri ukampenda ila ukaogopa ukaambulia kumsindikiza tu kwa macho..