Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Kuna mahali niliona 'beauty gets the eyes but personality gets the attention', ni kweli?

Outward appearance will draw someone's attention but substance will hold it.

Hii misemo huwa inaendana na muktadha. Si ya kuichukulia kama ilivyo nyakati zote na sehemu zote.
 
Hahaaaa funny nilijua ungesema masogange. Be careful..naona anakuingia moyoni

Hahahaaa.....Dorothy hajakuingia moyoni bado?

Nimecheka saana hayo mazungumzo yenu humu..!! Lol..
 
Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.

Kwahiyo mlikuwa mnasagana au? Maana Kama sikuelewi kwenye picha yako umeweka avatar ya ke!
 
mim naamin kabisa,ndo waalim wanaongoza kwa kua na wake wazur
 
Nakubaliana na ww mtoa mada, wanawake wengi wazuri wameishiwa kuolewa ama kupigwa mimba katika hatua zao za awali za masomo!
 
Kuna ukweli kidogo..maana nkicheki muhimbili enzi hizo wale vipanga..unaona kitu..siku hizi hali imebadilika kidogo na kuja kwa feza, marian na st. fransis
 
Mkenya Vera Sidika

vera............jpg

cute and smart
 
Back
Top Bottom