miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,105
cute and smart
Wasomi ugly and rough?
cute and smart
Wasomi ugly and rough?
nini mantiki ya hii thread?
Wazir wa mashaur ya kigeni wa kenya unamfahamu??????
Tafta picha yake.
Kenyatta na ugumu wake pale alimsahau first lady
Jamani, Angela Kailuki mnamuonaje?
sio kweli
Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.
Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.
Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.
Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.
Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.
So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.
Nimekwisha kama ndio hivyo.
Lakini, uzuri ni mjumuisho wa zote, za ndani na nje? Ina maana wanamme hufuata uzuri wa nje tu?
Mimi nilidhani huko BMK mnatunga katiba kumbe mnatunga naniliu,heri ukawa wamaliona hilo wakaondoka zao.Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
Kuna ukweli kidogo..maana nkicheki muhimbili enzi hizo wale vipanga..unaona kitu..siku hizi hali imebadilika kidogo na kuja kwa feza, marian na st. fransis
Wasomi ugly and rough?
nafikiri huyo ndiye Komba.Mimi nilidhani huko BMK mnatunga katiba kumbe mnatunga naniliu,heri ukawa wamaliona hilo wakaondoka zao.
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: