Walichokifanya Yanga kwa Simba sio sahihi

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,472
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:

1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.

4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.

5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.

6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
 
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa,
Ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIMBA na YANGA ila kwa huu uhuni wanaoufanya YANGA kwa SIMBA viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya YANGA walivuka mipaka:–

1.Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2.Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya al ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3.Maneno aliyotoa kocha wa jwaneng galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa YANGA..

4.Gharama za usafiri,Malazi na chakula jwaneng galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania kigamboni fc walimaliza kazi.

5.Wachezaji wa jwaneng galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na YANGA kwamba SIMBA wameweka dawa vyumbani.

6.YANGA waliwaambia viongozi na wachezaji wa jwaneng galaxy kwamba simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7.Mashabiki wa YANGA wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8.Siku ya mechi ya SIMBA na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa YANGA walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9.Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na jwaneng galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10.Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya jwaneng galaxy na SIMBA ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB:Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na YANGA acheni roho mbaya.
Wacha kulialia wewe cheza mpira
 
1. Huko kambini kigamboni yanga waliwadhoofisha galaxy mkawafunga 6.

2. Video analyst akawapotosha galaxy, mkawafunga 6.

3. Hayo maneno yalimfanya kocha wa galaxy awe over confident akasahau kuwapa mbinu wachezaji wake, mkawafunga 6.

4. Kutokujihudumia kukawafanya wasiwe na uchungu na mechi, wakabweteka wakala 6.

6. Hiyo ikawafanya wasipate muda mzuri wa kupumzika na kurekebishana, wakafa 6.

7. Hapo galaxy wakasahau mbinu kidogo walizopewa wakaamini mambo nje ta uwanja, wakala chuma 6.

8. Mashabiki wa Yanga waliwapa sifa kwamba wao ni bora, wakajisahau wakala 6.

9&10. Viongozi wa yanga na wataalam wa majini walitumia muda huo wa kuwa pamoja kuwatupia majini galaxy huku wakiwaaminisha majini hayo yatawasaidia, wakasahau mbinu wakafa 6

Tuwapongeze Yanga, walifanya sehemu yao na ushindi ukapatikana
 
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:

1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.

4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.

5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.

6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
jwaneng aliitwa AVICII ili tumsaidie Simba kumbamiza na hilo limetokea kweli...kwenye hizi lawama Yanga ata react km mzazi aliyeimbwa kwenye nyimbo ya stamina ft prof J,WATOTO HAWAWEZI ONA WAZAZI WANAPITIA NINI KAZI YAO LAWAMA TU
 
Attachments

  • 20240301_105740.jpg
    20240301_105740.jpg
    61.5 KB · Views: 7
1. Huko kambini kigamboni yanga waliwadhoofisha galaxy mkawafunga 6.

2. Video analyst akawapotosha galaxy, mkawafunga 6.

3. Hayo maneno yalimfanya kocha wa galaxy awe over confident akasahau kuwapa mbinu wachezaji wake, mkawafunga 6.

4. Kutokujihudumia kukawafanya wasiwe na uchungu na mechi, wakabweteka wakala 6.

6. Hiyo ikawafanya wasipate muda mzuri wa kupumzika na kurekebishana, wakafa 6.

7. Hapo galaxy wakasahau mbinu kidogo walizopewa wakaamini mambo nje ta uwanja, wakala chuma 6.

8. Mashabiki wa Yanga waliwapa sifa kwamba wao ni bora, wakajisahau wakala 6.

9&10. Viongozi wa yanga na wataalam wa majini walitumia muda huo wa kuwa pamoja kuwatupia majini galaxy huku wakiwaaminisha majini hayo yatawasaidia, wakasahau mbinu wakafa 6

Tuwapongeze Yanga, walifanya sehemu yao na ushindi ukapatikana
Hatuwezi kuwapongeza hao wanafiq kamwe
Ila hujamalizia kamba ule ushindi wa simba hakuna kiongozi mshamba mshamba wa simba aliezimia
 
Mpira ni uwanjani hayo mengine ni mbwembwe tu, wapenzi wa simba acheni kujitilisha huruma kwa sababu ni wazi simba na Yanga ni mahasimu.
 
Kwa taarifa ulizosikia..
Hakuna taarifa ya kusikia kwa hyo hukumuona engineer hersi na manara walivyovaa jezi za wapinzani na wakati mashabiki wa yanga wanaenda airport kupokea wageni ilikuwa huoni au ww ndio wale shabiki lia lia.
 
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:

1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.

4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.

5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.

6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Unatofauti gani na mtoto anaejifunza jinsi ya kuandika sentensi? Kama mmoja wa Great thinkers weka ushahidi wa hivi unavyovisema lasivyo subiri majibu ya kwenye vijiwe vya kahawa
 
Hili halipendezi hata kidogo ni kinyume na tamaduni zetu. Serikali ikemee mapema
 
Back
Top Bottom