ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,733
- 131,467
Ukiona imekufikisha huko jinasue, unapotea!!Cha ajabu pombe inazalisha tabia hizo:
• kupenda usingizi
° kuwa mvivu.
° kuahirisha mambo(tunywe kwanza)
° Ni ngumu kutosheka(matumizi bila mipaka)
Ukiona imekufikisha huko jinasue, unapotea!!Cha ajabu pombe inazalisha tabia hizo:
• kupenda usingizi
° kuwa mvivu.
° kuahirisha mambo(tunywe kwanza)
° Ni ngumu kutosheka(matumizi bila mipaka)
Twende tukalewe, wikiend hiiWe jisemee wewe ndo huna hela ya kutumia huko bar, nyie ndo huwa mnaenda bar mwisho wa mwezi unanunua bia moja moja halafu kila muda unaiinua kuona imefika wapi
😂😂😂😂 nimecheka hadi basi.Nimeamini ukiwa huna hela kila starehe utaiona ni dhambi
😂😂😂😂Nipo nakula zangu Bia na Nyama choma hapa Vip na Mtoto kaingia Washing room..Ndio nawaza mimi Deal gani la haramu nimefanya..
TOka niwe member wa jamii forums, leo ndo nimeshuhudia uzi mbovu kuliko wa Lucas Mwashamba. Yaani nimeuza korosho gunia 100 nikatoa ya gunia moja kwenda kuchamba koo tayari mi ni haramia? Kweli tutafute pesa, dar hakuna joto.Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Acha ubahili weweBia 1 ni chang'aa lita tatu mkuu,
Umeamu kutetea tungi kwa gharama yoyoteTOka niwe member wa jamii forums, leo ndo nimeshuhudia uzi mbovu kuliko wa Lucas Mwashamba. Yaani nimeuza korosho gunia 100 nikatoa ya gunia moja kwenda kuchamba koo tayari mi ni haramia? Kweli tutafute pesa, dar hakuna joto.
Hakuna tajiri asiye bhahili, ukiona anamwaga pesa jua ni chawa.Acha ubahili wewe
Unatupaje?, yaani kunywa bia mbili ni kutupa pesa?/ Tafuta pesa kula kidogo ndiyo formula halisi.Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Endelea kutesekaHakuna tajiri asiye bhahili, ukiona anamwaga pesa jua ni chawa.
Hapo hujatupa mkuuUnatupaje?, yaani kunywa bia mbili ni kutupa pesa?/ Tafuta pesa kula kidogo ndiyo formula halisi.
Ukipata 25,000/- siyo vibaya kula 5000/-
Leta hojaSio kweli mkuu
Ponda raha mkuuEndelea kuteseka
Tofautisha kutupa na kupooza koo ama vibe la la kurefresh.Haha kwa hio walimu/Drs/eng/ wanaolipwa kisha kwenda bar nao wanafanya kaz haramu?
Umejikita kwenye starehe au kilevi ??Leta hoja
Eeh kufa kwajaPonda raha mkuu