Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Hili ni suala la utofauti wa mtazamo tu,wewe unaona hivi na yeye anaona vile,kwa hiyo wapo wenye pesa halali kabisa zinaishia bar na wapo wenye pesa haramu pia hivyo hivyo.
 
Kunywa pombe kwa kiasi sio moja ya sababu za kukufanya masikini.

Mwandishi mmoja alisema, ili uukaribishe umasikini,
• penda usingizi yaani we lala tu,
° kuwa mvivu yaani wewe usijishughulishe.
° ukipata wazo sema kesho nitalifanyia kazi.
° tumia zaidi ya unachopata.

Utauita umasikini haraka sana, so pombe sio sababu ya umasikini, actually kila kitu kinataka kiasi, hata kula kunataka kiasi.
 
Cha ajabu pombe inazalisha tabia hizo:
• kupenda usingizi
° kuwa mvivu.
° kuahirisha mambo(tunywe kwanza)
° Ni ngumu kutosheka(matumizi bila mipaka)
 
Back
Top Bottom