Mbona mie nazika pesa mwenye mbunye....wapo wanapata halali na wanatumia hapo bar...ndio starehe yaoHakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.