YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 987
- 1,825
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
tafuta hela familia acha kulialia kindeziHakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Hao wana wazimu, watakuja kutia huruma uzeeniHaha kwa hio walimu/Drs/eng/ wanaolipwa kisha kwenda bar nao wanafanya kaz haramu?
Kunywa sio ishu mkuu zingatia neno Kutupa barAcha wivu weyeee...!Bia Tamu ..Ni Bajeti na Mipango tu
Nazitafuta zinakimbia mkuu very soon ntaacha milio.tafuta hela familia acha kulialia kindezi
Huo ndo tunaita wazimuuWashkaji kibao wanabeba zege na jioni wanaenda kutumia Bar.
Kwahiyo usiseme hakuna
Zingatia neno Kutupa barNi taswira uliyojijengea akilini, inalika yoyote yaani nivuje jasho nipate per day yangu nisiunyunyizie moyo tubia tuwili tutatu
kimbia nazo familia hakuna kukata tamaaNazitafuta zinakimbia mkuu very soon ntaacha milio.
Kwahiyo mtu anatumia Hela yake unaita wazimu.Huo ndo tunaita wazimuu
Moja, mbili, tatu chafua meza. Bar haijawahi kumuacha mtu salamaKunywa bar kwa kutumia mshahara wako halali ni matumizi ya jasho lako.
Ila kutumbua pesa bila akili hadi kufilisika ndio kunakomfanya mtu aonekane ana wazimu au pesa hiyo haina uchungu kwake.