Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Ukishazoea kwenda bar/club n.k na ukavutiwa na mazingira ya kule, utatumia kila njia kutenga kiasi fulani ili kuipata furaha ile.
Kama vyanzo vyako havieleweki, kuna baadhi ya mipango yako itasimama au itaenda taratibu.​
 
Kunywa pombe kwa nidhamu hakukufanyi uwe maskini.

Lakini, kutumia bar kama sehemu ya kukimbia majukumu, kufanya kufuru ya "chafua meza" bila bajeti, na kuzungukwa na walevi wenzako wasio na maono hapo ndipo unywaji wa pombe unakuwa njia ya haraka kuelekea umaskini.
Bahati mbaya iliyopo ni kwamba wahudumu wa bar wengi washakataa kutumika wameamua kutumia, fishi zishakuwa mingi, unajikuta katikati ya mateso.
 
Pombe inasingiziwa sana allooo....😂
downloadfile.gif
 
Back
Top Bottom