Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
MATAGA mna shida kwenye medula.
Ulitaka atangaze uasi?
wapumbavu kweli nyie vijana wa MATAGA
 
Nimeanza kusoma ninafikiri una la maana kumbe ni ushabik tu. Bure kabisa.
 
Kumbe ila hawa walikuwa na jipya
Screenshot_20210726-145223-1.jpg
 
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
HUTUBIA NA WEWE TULIONE JIPYA
20210716_160047.jpg
 
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Mnyika kakurupuka leo baada ya jana walipopigwa mkwara na kigogo twita kuwa hawajatoa tamko na atawasema siku akikutana na mbowe..mnyika anaongea kwa ukali maazimio laini yasiyo na chochote kipya ndani
 
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
katiba katiba katiba
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila mitutu ya bunduki za polisi CCM hii ni sawa na TLP ya Mrema.
 
acha hasira ndugu ndiyo inawapoteza wewe mwanasiasa na ugaidi ndani wapi na wapi?
Majaribio yenu Kwa Namna nyingine tangu mlipodhani mtauwa upinzani ili mdumu kuwa madarakani mwabambikia Keshi Za ugaidi.Nchi mwaitangaza kuwa Na magaidi kumbukeni wakati WA Nyerere vijana waliteka ndege Kwa kutumia bomu la embe!
 
Na wale mahaini salender ilikuwaje eti
 
Hauna akili kama Gwajima.
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
 
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Post ya kizwazwa namba moja katika wiki yote hii.
 
Hahahaha.. dada anaonekana ana elimu kiasi fulan na ni mtu anaejitegemea. Mpaka sasa sijaelewa Mbowe alitumia dawa gani kumnasa kizembe zembe mtu anaejitambua kama yeye. Nikisema alimnasa kwa dawa siamini uchawi, nikisema alimnasa kwa maneno matupu pia naona dada yetu sio mtu wa kudanganywa na kiongozi aina ya Mbowe.. yan mpk leo nimekosa jibu... Kweli ndege mjanja siku zote ananasa kwenye tundu bovu!
Inaonesha kijana ulipita Shuler kuupata cheti.
 
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Kama unataka jipya nenda ukanunue dukani. Tangia lini mzee CCM akawa na jipya?
 
Back
Top Bottom