Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
kulingana na sheria za mifuko ya jamii nssf ni moja mifuko kwa ajili ya wafanyakazi wasiokuwa wa kiserikali. Kulingana na juhudi zake kuisapoti serikali kufuta fao la kujitoa, wafanyakazi wengi wanao anza kazi wanajivnga na GEPF ambao nao pia ni mfuko wa mafao anaochukua mpaka wafanyakaz wa sekta binafsi kisheria, pia wao wameruhusu fao la kujitoa. Hivyo GEPF Wameona hiyo opportunity. Mifuko ya pension na lapf wao wanalindwa na sheria kwa kuwa mfanyakaz wa serikali pensionable kazma awae member wa pspf na local gvt lazm awe member wa lapf. Therefore nssf ceo doesnt think strategical