mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,597
- 5,604
huyo naye hajitambui kwani ni lazima sheria za mafao zilingane na za nchi zingine? anamaanisha kila kitu kilichoko katika sheria ya mafao kama kenya ni sawa na tanzania? tatizo hizi sheria haziwagusi ndiyo maana wanatapika ipo siku samaki watachoka kuvumilia ndio chanzo cha watu kujichukuli sheria mikononi kwani kila kona kero, haswa ukiwa mtu wa hali ya chini kipato kidogo halafu bado wanaleta siasa kwenye haki za watu.