Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

Hata zanzibar wanasheria zao,yani anakuja na utetezi kuwa wazungu wanatozwa na sisi tukubali kizembe tu, dr. Dau anakwama,atakuwa nesi muda si mrefu,mana uchambuzi wake niwaki puzi sana.

Kwa tamko lake inaonyesha mswada wa kupelekwa bungeni umekufa kifo cha kawaida.
 
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.

Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.

Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.

Source: ITV Habari

Katika watu wanaotia kichefuchefu ni huyu jamaa. Kwanza ameleta UDINI wa hari ya juu sana NSSF. Pili kwakuwa yeye tayari keshachuma pesa ya kutosha ndo maana Haoni umuhimu wa sisi kupata hivyo visenti vyetu. Laana ikae yake na
uzao wake wote. Amina
 
Ni kichekesho sana kwa wanasiasa wetu ama viongozi wetu wakihalalisha wanachokifanya eti kwa kuwa Kenya ama sijui nchi nyingine mbona wao wanafanya ama hawafanyi. Kwa hiyo Kenya wakihalalisha gays and lesbians basi bongo nao wafuate? Kenya na Z'bar wakiwa na maujinga yao basi na sisi bongo tufuate kisa wao wameamua hivyo? What a dumb-ass fracko nackobull!!!!!
 
Pamoja na udokita wake "amezoea kukopi na kupaste" na anawaza kuwa JAMBO ZURI HALIWEZI KUANZIA TZ wala mambo au taratibu zilizopo haziwezi kurekebishwa na Tanzania.
Kweli "uchungu wa mwana aujua mzazi".

Halafu eti ni Doctor anayeamini katika wazungu tu
 
Hivi lazima kila kitu tufanane na nchi nyingine za dunia?! Hatuwezi kubuni vya kwetu kwa ajili ya maslahi yetu? Majitu mengine bwana?!
 
Ni kichekesho sana kwa wanasiasa wetu ama viongozi wetu wakihalalisha wanachokifanya eti kwa kuwa Kenya ama sijui nchi nyingine mboa wanafanya ama hawafanyi. Kwa hiyo Kenya wakihalalisha gays and lesbians basi kwa kuwa wao wamefanya bongo nao wafuate? Kenya na Z'bar wakiwa na maujinga yao basi na sisi bongo tufuate kisa wao wameamua hivyo? What a dumb-ass fracko nackobull!!!!!

Mkuu you catch the point.Kwa hiyo turuhusu ushoga kwa vile wazungu wanasema ni haki za binadamu?
 
Hawa wajamaa wanajua migodini wanadata base, ukifukuzwa mgodi mmoja hupati kazi migodi mingine?!
Wanakaa ofisini nakuongea vitu ambavyo hawavifahamu.
 
Katika watu wanaotia kichefuchefu ni huyu jamaa. Kwanza ameleta UDINI wa hari ya juu sana NSSF. Pili kwakuwa yeye tayari keshachuma pesa ya kutosha ndo maana Haoni umuhimu wa sisi kupata hivyo visenti vyetu. Laana ikae yake na
uzao wake wote. Amina

Hayo ya Udini tuyaache lakini hili la Fao la kujitoa kamwe tusimpe nafasi ya kupumua.
 
ukiachishwa kazi england unatoa taarifa na kuanza kulipwa fedha na serikali wakati ukitafuta kazi...mbona hii hawajaiga??????
 
Kama nchi nyingine hakuna fao la kujitoa basi nssf/ppf waweke pia unemployment benefit ambao lipo kwenye hizo nchi.............Ila liwepo au lisiwepo sie tunasubiri hyo october 30-november 4 wasipoileta hoja ndio watajua kama ilo fao nchi nyingine lipo au halipo.....
 
Hiyo DAU kasema ukweli na ndivyo ilivyo na inapaswa kuwa hivyo, subiri mpaka ustaafu
 
mbona hasemi kuwa Ulaya watu wasio na kazi wanalipwa Un employment Benefit mpaka wanapopata kazi huyu dingi kashalewa sifa za magamba

Kwa jinsi alivyo mnafiki hilo haligusii kwa sababu litamnufaisha mnyonge.
 
mbona hasemi kuwa Ulaya watu wasio na kazi wanalipwa Un employment Benefit mpaka wanapopata kazi huyu dingi kashalewa sifa za magamba
hii mkuu nimeipenda. Wasio na ajira bongo ama walioachishwa kazi nao walipwe unemployement benefits kwa kuwa nchi nyingine zinawalipa
 
ukiachishwa kazi england unatoa taarifa na kuanza kulipwa fedha na serikali wakati ukitafuta kazi...mbona hii hawajaiga??????

Huyu mnafiki hilo halioni kwa sababu ya kujaza mali ya dhuluma.Maskini watanzania.
 
alichosema Dr. Dau ni kweli, ila kwa makusudi amesahau kuongelea MFUMO MZIMA wa kumlinda na kumwezesha mfanyakazi kuisubiri, kuifikia na KUIFAIDI pensheni yake. Mfumo uliopo sasa ni maigizo tu. Ushahidi upo wa kutosha
 
Kama nchi nyingine hakuna fao la kujitoa basi nssf/ppf waweke pia unemployment benefit ambao lipo kwenye hizo nchi.............Ila liwepo au lisiwepo sie tunasubiri hyo october 30-november 4 wasipoileta hoja ndio watajua kama ilo fao nchi nyingine lipo au halipo.....

Mkuu waziri ameshasema hiyo hoja haipo bunge hili labda mpaka bunge la mwakani.
 
alichosema Dr. Dau ni kweli, ila kwa makusudi amesahau kuongelea MFUMO MZIMA wa kumlinda mfanyakazi ili aweze kuisubiri, kuifikia na KUIFAIDI pensheni yake. Mfumo uliopo sasa ni maigizo tu. Ushahidi upo wa kutosha.

Tena maigizo kama ya Bulicheka.
 
Huyu jamaa hana hata akili ya kuangalia benefit ambozo ziko ulaya,hivi huo udaktari wake ni wa kula na kuliwa tigo au nini.Hivi nchi hii wasomi wamekua watu wakujijali wenyewe,hakika 2015 kitaeleweka tu
 
huyu dau nawasiwasi sana na uwezo wake wa kufikiri,yaani anamawazo mgando,kwann kila ki2 tukop na kupest kwa watu,kwa nn na cc tusianzishe chetu watu watuige,kwa kweli huyu dau ni janga la kitaifa hafai kbs kuwa mfano wa kuigwa naungana na mzee msema kweli laani na iwe juu yake Mungu ampige na laana ya majipu yasiyopona kwenye makalio yake ili asiweze tena kukalia kiti cha dg wa NSSF labda atakaekuja badala yk atakuwa mzalendo.
 
Back
Top Bottom