fao la kujitoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Fao la kujitoa na kauli za Serikali kuhusu kujiari - je, vinaendana?

    Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini. Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri. ''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
  2. Justine Marack

    Tuko tayari kuacha kazi na kujiajiri. Tupatieni fao la kujitoa

    Kumekua na kauli za kubeza watumishi pindi tunapo lalakikia maslahi duni. Wanasiasa wengi na watu binafsi wanekua wakitamka kuwa asiyetaka au anaye ona mshahara haitoshi aache kazi. Ifahamike kuwa wapo watumishi ambao tuko tayari kuachia nafasi ili na wengine wapate Ajira ili sisi tukajiajiri...
  3. F

    NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
  4. M

    Rais Samia tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira NSSF na urejeshe fao la kujitoa

    Kwako Muheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira na uterejeshe fao la kujitoa ambapo mwanachama wa NSSF atakua na uwezo wa kuchukua pesa zake zote bila kujali kwamba ameacha kazi mwenyewe au ameachishwa. Sheria hii ya...
  5. T

    Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  6. C

    Rais Samia, anza na mambo haya kwa vijana. Tutakushukuru

    Na; Hamis Abeid Baruani 0769808725 Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia kuhusu kutusaidia sisi vijana wako, mengi mazuri yalisemwa na uliyasema pale Mwanza naomba nami...
  7. M

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa. Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho. Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya...
Back
Top Bottom