Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,306
- 26,815
Chawa wanapiga goti.Siwezi na sijawahi pigia magoti mtu, na huo ni unafiki waliouonyesha hapo
Chawa wanapiga goti.Siwezi na sijawahi pigia magoti mtu, na huo ni unafiki waliouonyesha hapo
akuu, sujudia.😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅
Ni ujuhaChawa wanapiga goti.
Huo ni usengerema tuSijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?
Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Umeelewa swali langu au unajitoa ufahamu kuficha hisia zako?mtuhumiwa wa uhaini ndio mtetezi mkuu wa hiyo chafu, nadhani ungeelekeza maoni yako kwake ingependeza zaidi gentleman 🐒
OK.Umeelewa swali langu au unajitoa ufahamu kuficha hisia zako?

Samia hata akiamua kuwaambia walambe viatu vyake sina shaka watafanya hivyo, aliyesema rais kwa nchi za afrika ni Mungu mtu hakukosea, ni kweli yeye ndiyo mwenye kuteua na kutengua nafasi kubwa za maamuzi serikali kuu ndiyo maana inapendekezwa kupunguza madaraka yake ili mambo ya dizaini hii yapungue kama tungekuwa na mfumo mzuri na bunge huru na hizi nafasi za waziri, wakuu wa mikoa wakachaguliwa na bunge huru lenye nguvu na maamuzi basi tungepunguza haya ya Rais kuonekana ni Kila kitu
Huyo ndiye goddess wa akina Mwigulu na wenzake. Wataabudu hapo mpaka wachoke.Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!