Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

1789107631805.png
Inaonyesha Kwenye kolido ya Kizimkazi kuna foleni kubwa sana, naona bandika bandua,.Hadi kufika kwenye zulia na kiti chekundu ni safari.
 
Hao wanao mpigia magoti rais Samia , sio kwamba wanampenda sana rais , bali Wana ajenda zao za siri ambazo ni mbaya.
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Hao ndiyo wanaume wa Serikalini sasa
 
Kule jeshini tunasema "Men's up" (chanzo za neno "mamsapu" anapoingia mwanamama officers mess! Ilitokea kwa jeshi ya Britain tunakochukulia maujuzi tunayaunganisha na ya wachina tupate hybrid yetu

Hii men's down sijui imetokea wapi bongolendini yani
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Apo unakua unauza utu wako kwa pesa..

wangempa hug tu kama chivayo ingetosha. Wanawake wanapenda kukumbatiwa sio kupigiwa magoti mkuu.
 
Back
Top Bottom