Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Kwahiyo hapo anavishwa Pete wakati eda hajamaliza....
 
Sijaona umuhimu wa hii mada
Mbona hamuulizi kuwa wengi wao wamevaa kanzu?
Mama ameketi, hivyo ukitaka kuongea naye kitu kwa karibu. Huwezi kusimama

"When in Rome, do as the Romans do" means you should follow the local customs and traditions of the place you are visiting
Neno "bow"/inama kidogo/kujipinda limekosa utekelezaji kwa vitendo.
 
Kwenye misiba mingi wamama huwa wanakaa chini
kwahiyo utaenda mpaka pale alipo utashuka chini sababu mfiwa amekaa chini basi utampa mkono wa pole na maneno
mawili matatu unasimama unasepa

Sasa bi chura yeye amekaa kwenye kiti unampigiaje magoti!
 
Kwa hiyo unafikiri PM ana njaa? Kua uyaone
Unasemaje wewe?tena huyo ana njaa kukuzidi wewe.

Mchemba hajaanza kujulikana leo kwamba ana njaa ukitaka kujua ana njaa au hana rudi nyuma wakati ule Magufuli alipomteua na baada ya kumtumbua utajua ninachomaanisha.
 
Ni mwendawazimu wa pekee anaweza kufanya maigizo ya kijinga kama hayo.

Siwezi kumpigia magoti mwanadamu mwenzangu. Nampigia magoti Mungu pekee. Hawa wote wanaofanya ujinga huo ni wanafiki, machawa, yanayofanya maigizo ili kumhadaa anayewapa nafasi ya kuiba na kufanya ufisadi mbalimbali.
 
Ukisngalia vizuri, waliopiga Magoti wote hapo ni wale wanaojinasibisha na dini ya Ukristo. Sidhani kama kuna Mtanzania Muislam aliyepiga magoti, labda kama sijamuona

Hawa ni wakristo majina, lakini kiuhalisia ni watumishi wa shetani.

Mkristo halisi kamwe hawezi kumwabudu mwanadamu mwenzake. Anayestahili kuabudiwa ni Mungu pekee.
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Uchawa wa kutafuta kuteuliwa. Akitoka kwenye madaraka watampigia magoti? We vipi na low thinking!
 
Back
Top Bottom