Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Sir Wilsink ...
 
Mkoa wa Mara hatuwezi kumpigia magoti Mwanamke!
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 1
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Ni utamaduni unapomsalimia mtu aliyefiwa.
 
Samia hata akiamua kuwaambia walambe viatu vyake sina shaka watafanya hivyo, aliyesema rais kwa nchi za afrika ni Mungu mtu hakukosea, ni kweli yeye ndiyo mwenye kuteua na kutengua nafasi kubwa za maamuzi serikali kuu ndiyo maana inapendekezwa kupunguza madaraka yake ili mambo ya dizaini hii yapungue kama tungekuwa na mfumo mzuri na bunge huru na hizi nafasi za waziri, wakuu wa mikoa wakachaguliwa na bunge huru lenye nguvu na maamuzi basi tungepunguza haya ya Rais kuonekana ni Kila kitu
Huwezi kuwakuta viongozi wa Marekani wanampigia magoti Trump😄 halafu tunajiita ni Sovereign state
 
Aisee... ndio ishara ya kiwango cha juu cha unyenyekevu na kutoa pole kwa mfiwa.
 
Ukimaanisha sisi "washabiki" wa Tlaatlaah tukamkuta mtindo wake wa maisha ni kushika ukuta itakuwa kitu useless tukikerwa na maisha hayo? Acha hizo bana!
mtuhumiwa wa uhaini ndio mtetezi mkuu wa hiyo chafu, nadhani ungeelekeza maoni yako kwake ingependeza zaidi gentleman 🐒
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Hapo wanaipigia Bendera ya Tanzania au?Mfiwa amekaa mwombelezaji kapiga goti
 
Back
Top Bottom