Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Yaani kwa akili yako ni kuwa majibu mepesi yaliyo tolewa na Polepole na kafulila ndiyo majibu ya kujibu report ya CAG, ama na wewe ni mwepesi kama Chakubanga-pole pole?
Wenyewe wamewapeni rejea ya sehemu ya pili ya hoja. Kasomeni hamtaki na hampo ttayari kusikiliza wengine. Nyie ni maroboti mpaka msetiwe upya
 
Kama Dotto James, PS wa Wizara ya Fedha ambaye ndiye mlipaji wa hizo fedha alishindwa kutoa uthibitisho wa ubadhirifu wa hizo trilioni, Kafulila ni nani wa kuweza kutoa majibu sahihi? Kama hujui masuala ya Auditing ni vizuri kuuliza kwa wataalamu badala ya wanasiasa.

Vv
Wewe roboti mpaka usetiwe upya hujajaaliwa kuwa na utambuzi binafsi mpaka utambulishwe
 
Sheikh hoja si ya zito kabwe.
Ni ya CAG.
inatakiwa wamjibu CAG sio zito.
Zito wanaweza kumjibu utumbo utumbo..
LAKINI SI UNAONA MPAKA SASA WAMESHINDWA KUMJIBU CAG?
 
mkuu kama hujui taratibu za hoja za ukaguzi sema ufahamishwe na sisi tuliopo huku tutakufahamisha! hayo majibu ya PAC bado yatakuwa fake-unapaswa ujue kuwa mpaka CAG anatoa hoja kwa umma maana yake alikosa majibu sahihi kutoka kwa wahusika.sasa swali la kujiuliza kama walengwa walikosa majibu sahihi ya kumpa CAG-kipindi cha ukaguzi ni nani ambaye anayo? na lingine ni kwa nini waliyakosa majibu ya hoja?
PAC ipo kwa kazi gani kama huwa inapokea majibu feki. Huna unachokijua bali ni roboti katika ubora wake
 
Kafulila na Polepole ndio wasemaji wa serikali? Tumia akili zako kdogo tu kuhusu hili sio kushikiwa akili na ccm
Kumbe Unajua upo upande wa serikali kutoa maelezo. Subiri sasa kiherehere cha nini
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
Acha kua na Fikra Finyu Kaka Pole Pole Na Kafulila hawajajibu Hoja Yoyte juu ya Upotevu wa hizo 1.5trillion walicho kifanya nu kujitahid kuizima mada maana Wao na Serekal yao walipewa siku 21 kuwaeleza CAG hzo Pesa Ziko wap na Zimetumikaje na Walishindwa Pamoja Na wataalamu wao wote na Ndio Maana Report Y CAG ilipo fungwa na kutufikiwa wanachi kanakwaba kuna hw
Hutaki tu kuamini majibu yaliyotolewa, sasa kunakuwa hamna jinsi. Hebu angalia hii comment hapo chini.

Sasa huyu mtu hata ukimjibu si atakutukana tu?
.We
Wewe ndo Unastahili Kuelekezwa maana wanachofanya MawAziri na Kina Polepole Sahzi ni kujitahid Kudanganya Wanachi Na Kuzima Moto Wa mada Wa upotevu wa hyo pesa 1.5trillion Coz Mjadala Wa CAG Ulifungwa Mda sana Na wangekua na Hoja Nzito Na Ushaid Wangeweza kuwapa CAG pindi walipo pewa siku 21 za Kujitetea Juu Ya matumizi ya hzo 1.5 kwamba kwann hazionekan wakashindwa Kuwashawish na kutoa Ushahid Ndo Maana Mjadala wa Ukaguzi Ulipo Fungwa Report Umetufikia kama Tunavyo sikia Kwamba 1.5 hazionekan matumiz yake au ziko wap..Sasa ww na Ndugu zako Msijifanye kutetea Au kutuletea takwimu zilizoshindwa kumshawish CAG pindi alipo wapa nafasi ya Kujitetea Na mue Mnatumia Akili Kidgo Mda mwimgine.Changanua Jambo Ndugu
.
 
Acha kua na Fikra Finyu Kaka Pole Pole Na Kafulila hawajajibu Hoja Yoyte juu ya Upotevu wa hizo 1.5trillion walicho kifanya nu kujitahid kuizima mada maana Wao na Serekal yao walipewa siku 21 kuwaeleza CAG hzo Pesa Ziko wap na Zimetumikaje na Walishindwa Pamoja Na wataalamu wao wote na Ndio Maana Report Y CAG ilipo fungwa na kutufikiwa wanachi kanakwaba kuna hw
.We
Wewe ndo Unastahili Kuelekezwa maana wanachofanya MawAziri na Kina Polepole Sahzi ni kujitahid Kudanganya Wanachi Na Kuzima Moto Wa mada Wa upotevu wa hyo pesa 1.5trillion Coz Mjadala Wa CAG Ulifungwa Mda sana Na wangekua na Hoja Nzito Na Ushaid Wangeweza kuwapa CAG pindi walipo pewa siku 21 za Kujitetea Juu Ya matumizi ya hzo 1.5 kwamba kwann hazionekan wakashindwa Kuwashawish na kutoa Ushahid Ndo Maana Mjadala wa Ukaguzi Ulipo Fungwa Report Umetufikia kama Tunavyo sikia Kwamba 1.5 hazionekan matumiz yake au ziko wap..Sasa ww na Ndugu zako Msijifanye kutetea Au kutuletea takwimu zilizoshindwa kumshawish CAG pindi alipo wapa nafasi ya Kujitetea Na mue Mnatumia Akili Kidgo Mda mwimgine.Changanua Jambo Ndugu
.
Tatizo nyie roboti hamna utambuzi. Mtabadili msimamo mtakaposetiwa tena. Mbona tunawafahamu. Mliwahi ambiwa serikali imefilisika na mtu huyo huyo mkaimba wimbo huo sijui lini aaliwaseti upya.
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Hata wakitoa maelezo nothing can justify miss allocation of 1.5T
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch

Kafulila kwanza hana moral Authority ya kuongelea suala hili. Yeye ni mmoja wa watu waliopewa hizi pesa ambazo zimepotea bila maelezo ili kuunga mkono mfalme juha. Kwa ufupi yeye ni mnufaika
 
Sioni ubaya wa hili, yeye ndio Rais wa nchi na serikali na serikali ndio imekaguliwa, nadhani ni sawa kuulizwa. Lakini asituhumiwe.

Unajua ukijifanya mtakatifu sana watu lazima waamini kama wewe ni mtakatifu, alizoea kutuambia kwamba awamu zilizopita zilikuwa zilifanya mambo ya ovyo sana, sasa yeye ndani ya mwaka mmoja uchafu unazidi awamu zote zilizopita. Halafu watu wanakuja wamebana pua "pesa haijapotea" nyoooooooooooo!
 
Kafulila kwanza hana moral Authority ya kuongelea suala hili. Yeye ni mmoja wa watu waliopewa hizi pesa ambazo zimepotea bila maelezo ili kuunga mkono mfalme ****. Kwa ufupi yeye ni mnufaika
Robot katika ubora wako
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Sasa mkuu si ndiyo maana tunataka huo mchezo msafi uliofanyiwa hizo pesa tuelezwe? Japokuwa hayo maelezo alitakiwa apewe CAG na hakupewa. Hapo ndipo penye shida.
 
Maccm hayawezi kujibu hoja wao kazi wanayojua ni kukejeli, kutukana na kuzomea.
 
Back
Top Bottom