naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!
Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?
Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!
Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?