Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Wewe kweli mbulula, hivi unajua kazi ya CAG?? Pesa kama haijatumika ingeingiaje kwenye orodha ya upotevu?? Maana yake ilipo inonekana??
 
Wewe ulitaka wasifie au wasihoji vitu vingine Kama huna uwezo wakujenga hoja kaa kimya.
 
Ndiyo, pesa aliyokuwa akitembea nayo pole x2 kwenye vikapu akinunua madiwani zilikuwa zinatoka wapi?
Hata kiswahili hamjui. Pesa au zawadi apewayo mtu kutoa ridhaa yake huitwa hongo.
Hivyo basi kama madiwani na wabunge waliohamia CCM walinunuliwa? Basi waliuzwa na vyama vyao. Kuna ubaya gani muuzaji mzuri na mnunuzi mzuri kuuziana? Chadema umeuza wengi hivyo muombeni mhasibu atoe mahesabu.
 
Kwa akili yako hutakiwi hata kuwa member wa Jamii Forums
 
Hata ukijua haitakusaidia lolote mwenye mamlaka juu ya kila kitu serikalini ni mmoja tu , sana sana unajitafutia kuyeyuka kama chumvi katika maji ya moto.

Kwani wewe utaishi milele? Ni bora tufe kwa kusema ukweli kuliko kunyamazia uozo
 
Wenyewe wamewapeni rejea ya sehemu ya pili ya hoja. Kasomeni hamtaki na hampo ttayari kusikiliza wengine. Nyie ni maroboti mpaka msetiwe upya

Huna hoja mkuu, inawezekana ni mnufaika wa huu uozo, acha tunaelewa tuendelee kupambana siku moja kitaeleweka tu
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Ko ziko wapi labda,,matumizi ya serikali ya kiuongizi yameongezeka wakati tunaambiwa inabana matumizi
 
Nyinyi ndio wale wafuasi wa Mange, uwezo mdogo wa kuyaelewa mambo ndio unawafanya mnakuwa makarai kila kukicha.
Wewe ndiyo karai la pole pole hapo ndiyo umejenga hoja? Ila siyo tatizo lako ni njaa ndiyo imepunguza uwezo wako wa kufikiri.

OK! Wahi ukachukue buku 7 shemeji ale hali ngumu kwa sasa ila very soon utajitambua subiri tuwaamshe mlio lala. Leo mnamuamini pole pole mtu wa kiswahili na history kuliko professor. Shame on you uvccm
 
Mkuu, huo wimbo wa trilioni 1.5 umeshapitwa na wakati. Mpigie simu Mange akuambie ni wimbo gani mpya kwa sasa.
 
Back
Top Bottom