Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Unajuaje juu ya utendaji kazi uliopo kati ya waziri na ofisi ya CAG?, kwa naibu waziri kujibu hadharani sio kigezo kwamba haupo utaratibu wa kikazi wa wizara kutoa majibu kwa CAG.Taarifa ya naibu wazir wa fedha haitoshelizi kujibu hoja ya CAG, kama hizo data zilikuwepo walishindwaje kuzitoa kwa CAG , someni report ya CAG mlinganishe na huu utetez wa sasa! Mpaka sasa hakuna aliyejibu hoja za CAG
Punguzeni siasa za kukuza mambo ambayo kwa asilimia kubwa hamuyajui vizuri.