Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
Ni mtetezi wa wanyonge au MWIZI WA WANYONGE..?
 
Hio umehisi wewe ila point ni kua serikali ilipewa siku 21 na kamati ya PAC na LAAC kupelekea uthibitisho wake lakini wakashindwa hivyo hio pesa haijatumika huko sababu kama ingetumika huko ingeweza kua justified na CAG angeenda kukagua kama ni kweli zimetumika kwenye vitu ulivyoviorodhesha napata picha hujaangalia alichokisema mjumbe wa PAC na LAAC sababu ungelimwelewa vizuri hivyo usingekuja na hizo guesswork zilizoshindwa kua justified na serikali
Kwahiyo unafikiri pesa iliyotumika kununua ndege imetoka wapi?
 
Hio umehisi wewe ila point ni kua serikali ilipewa siku 21 na kamati ya PAC na LAAC kupelekea uthibitisho wake lakini wakashindwa hivyo hio pesa haijatumika huko sababu kama ingetumika huko ingeweza kua justified na CAG angeenda kukagua kama ni kweli zimetumika kwenye vitu ulivyoviorodhesha napata picha hujaangalia alichokisema mjumbe wa PAC na LAAC sababu ungelimwelewa vizuri hivyo usingekuja na hizo guesswork zilizoshindwa kua justified na serikali
CAG anakagua hata matumizi yaliyofanyika nje ya bajeti?Kama ni hapana CAG angeweza vipi kukagua matumizi yaliyofanyika nje ya utaratibu wa kibunge?Na kama umemsikiliza Jana azam TV yeye mwenyewe anaamini zimetumika ktk matumizi mengine ya kiserikali lkn ttz ni nje ya utaratibu na kutoa rai bunge lihoji.Ukikataa pesa hazitumika huko unataka kusema hizo za chato,hostels nk walichota ktk bajeti ipi?na kwanini CAG Ajaelezea kuwa pesa zilizopangwa ktk bajeti flani zilipunguzwa?Na kama hakuchota huko na unadai hizo fedha alizonunua ndege na mengine ziko nje ya hizo 1.5,unataka kusema hizo hela alitoa mfukoni mwake?Njoo na ufafanuzi
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?

Nahisi hizi pesa CCM walizichota kwa maagizo kutoka juu ili wafanyie mambo yao ya hovyo kama kununua wapinzani. Wewe jiulize hizi pesa za mchezo wanazipata wapi.
 
Viongozi wamekaa kimya kwa sababu Zitto si mtu wa kumchukulia maanani, ni kumpotezea tu. Kesho atakuja na hoja ya Museveni ya kuuliza bunge kwanini inaruhusu watu kufanya mapenzi ya mdomo (kulana koni as if yeye hajawahi kuliwa).
 
Tulia wewe upigwe nondo
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
Hata ukijua haitakusaidia lolote mwenye mamlaka juu ya kila kitu serikalini ni mmoja tu , sana sana unajitafutia kuyeyuka kama chumvi katika maji ya moto.
 
Hapo kama nawaona wanavyotafuta kifungu cha kutokea hahahhhhh, lakn wakuu nawaambia ukwel hawa jamaa ni hodari watatafuta kidude kdgo tu watatokea hapo hapo blv me
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
Kafulila na Polepole ndio wasemaji wa serikali? Tumia akili zako kdogo tu kuhusu hili sio kushikiwa akili na ccm
 
Riport ya CAG imeonesha matumizi ya pesa hizo hayajahainishwa au hayajulikani(hayajaandikwa) sasa tuseme zimepotea? Ndio maana ikatumika lugha rahisi tu kwamba hazijulikani zililpo kikubwa. Serikali ilitakiwa kuonesha zimetumikaje hiyo ndio namna pekee ya kujitoa kwenye hili ikishindikana basi ikubali tu jumba bovu limeihangukia Serikali ya MHESHIMIWA.
Ilipewa siku 21 ikashindwa kuonyesha pesa zlipo ad CAG analeta ripot out
 
Maelezo ya polepole
73a567ca-23f1-4411-9e6d-efa1f123038c.jpg
 
kwani anayetakiwa kujibiwa ni zitto au kamati za bunge, halafu si mmewakataza watu kujibu ili ifuate utaratibu sasa subirini jibu la serikali mbona mna haraka sana, maandushi hujibiwa kwa maandishi
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Fedha yeyote ya serikali ina utaratibu wake kuanzia ukusanyaji wake hadi matumizi yake, tena kwa mujibu wa sheria na kanuni. Kama haionekani popote maana yake haikufuata taratibu na iko mifukoni mwake binafsi huyo Sizonje! So sioni mahali popote itakapothibitishwa kuwa haikufanyiwa mchezo mchafu. Sizonje wenu hajui utawala bora. Kiongozi , Rais mzima kwa nini uende kushika CASH mkononi? Kwa nini ufanye matumizi nje ya Bajeti? Uko wapi uadilifu hapa?. Ndio maana hili analibeba yeye binafsi kama Sizonje, Amechafukaaaaa
 
Back
Top Bottom