Popoma weweHaya Zito kashinda na kawa rais wa makalai
Mbona wameshindwa kumthibitishia CAG kenge weeTUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Swali langu kwako.ukweli husimama wenyewe, ZZK ni mshindi hilo halina ubishi! utambeza tu ila ukweli mchungu unabaki pale pale bilioni elfu moja na mia tano majasho ya wanyonge na walala hoi bongo zimeliwa mchana kweupe! Mungu atuangazie nuru yake na upande wetu manake hatuna pa kukimbilia sasa! ripoti ya CAG iko wazi kwa public na inasambaa kwa whatsapp kwa kila mtu, kila kitu kiko sebuleni sasa! ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, hili ni janga la kitaifa! hizo ni pesa zimevunja rekodi kuwahi kuibwa bongo! Eee mwanamama mwanasheria shupavu uliekalia kiti kikubwa umesiki hili? mbona uko kimya sasa? ni utawala upi wa sheria unaoupigania? anza na hili sasa tuone kweli unapigania uhuru wa binafsi.
nadhani wa kupingana na kulumbana nae si ZZK ni kupangua hoja na tuhuma zilizoko kwenye ripoti yenyewe! yani wahusika kusema tu hizo 1.5T ziko wapi na kuweka risiti ya matumizi yake mezani , basi kama hilo haliwezekani basi jibu rahisi ni kuwa zimepigwa na serikali hii ya awamu ya tano na ni wazi kwa wabongo wachache wenye akili kuwa ZZK ni mshindi na Mungu atamlinda hakuna binadamu anaweza kumfanya chochote , binadamu ni viumbe dhaifu kabisa, akifika home jioni yuko hoi hutupa kule masuti aliyovaa mchana kutwa masuti ambayo yametokana na kodi , kodi iliyotokana na kuvuja jasho kwa watu wanyonge basi mabosi hawa kama walivyo mafukara wakulima "hufa" kila siku giza liingiapo (kulala) na siku moja hulala kimya na kuwa baridiiiiiiiii na kulazwa ndani ya udongo na juu yake huwekwa mfuniko wa zege ili hata akifufuka kwa bahati mbaya asitoke asubiri tu huko huko mavumbini SIKU YA KIAMA atakapokamuliwa majasho ya wanyonge na JAJI wa MAHAKAMA KUU ya Mbinguni Allah SW!!
ili tuendelee mbele ni vizuri tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kushindwa! katika hili Mwami ameshinda kwa kishindo laivu bila chenga, na hakuna awezae kumfanya chochote kwakuwa ametanguliza kinga ya Muumba wake. nadhani nia ya Mkulu ndio dira ya maendeleo thabiti na sasa ripoti inataja wizi wote ofisi zote na wote waliohusika , mkulu ajifungie ndani aisome ripoti taratibu na atumbue tu wezi na wazembe wote idara zote, ngazi zote na ofisi zote bila ajizi na kwa reason ya CAG report tu otherwise juhudi zake kuipaisha bongo ni kazi bure mkulu anatumia nguvu kubwa kujaza maji kwenye pipa huku watendaji wake wengine wanamchora wanamcheka na wanamng'ong'a tu kwa kutoboa pipa kwa chini na kufaidi majasho ya wanyonge, kamwe maji hayatajaa kwenye pipa la mkulu!asiangalie ukoo, level, cheo, jina wala sura!mkulu tupa kule majizi na wazembe wote!CCM oyeee!
Washafika tayari wafia chama[emoji116]Subiri litakuja unalotaka!
Haya Zito kashinda na kawa rais wa makalai
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
Sasa swali langu ni, Je uliona risiti za zile pesa nyingine mpaka uhitaji risiti za 1.5T? Au siyo lazima uzione risiti za 1.5T, bali hata ukiambiwa zimetumika vipi inatosha?nadhani wa kupingana na kulumbana nae si ZZK ni kupangua hoja na tuhuma zilizoko kwenye ripoti yenyewe! yani wahusika kusema tu hizo 1.5T ziko wapi na kuweka risiti ya matumizi yake mezani , basi kama hilo haliwezekani basi jibu rahisi ni kuwa zimepigwa na serikali hii ya awamu ya tano
mkaguz anapokulima hoja anakupa mda wa kujiteteaTUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Ndio maana wapinzani wanapiga kelele za wizi.TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Mbona hamueleweki. Serikali ikijibu mnapiga kelele mnamjibu CAG.Kwa hiyo kafulila na pole pole hao ndio wenye mamlaka ya kujibu hilo swali??
Tulia sasa. Mtapata majawabu toka PACsasa mbona Polepole hajajibu chochte juu ya hizo pesa atakafulila kajibu jibu kama anabashiri tu,.nadhani mtu wa serikali ndio mwenye nafasi nzuri ya kujibu sio kafulila na polepole ndo maana weshindwa kujibu maana sio watendaji wa serikali hawa
Watueleze tuu zipo wap na tunjua hawez iba zoteeeTUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Hahaha hkika ytabki vile vileZitto hajakurupuka hawa wengine wanakuja na mihemko na porojo tu mwenzao ana karatasi mkononi ogopa sana maandishi hata uruke sarakasi vipi yatabaki vilevile.
And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Kama Dotto James, PS wa Wizara ya Fedha ambaye ndiye mlipaji wa hizo fedha alishindwa kutoa uthibitisho wa ubadhirifu wa hizo trilioni, Kafulila ni nani wa kuweza kutoa majibu sahihi? Kama hujui masuala ya Auditing ni vizuri kuuliza kwa wataalamu badala ya wanasiasa.Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
viongozi kama wakina Polepole hawalijui hilo kuwa majibu yatatolewa na PAC[emoji1] [emoji1]Tulia sasa. Mtapata majawabu toka PAC