Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Mkuu, huo wimbo wa trilioni 1.5 umeshapitwa na wakati. Mpigie simu Mange akuambie ni wimbo gani mpya kwa sasa.
Tulia ww karai kama wimbo umeisha kwako huu wimbo hajaanzisha mange ni CAG wimbo wa mange waulize wenzako wanaocheza mpaka muda huu hawajui sherehe za muungano zinafanyika wapi? Mi wimbo wangu ni 1.5T.
 
Unasemaje shujaa mjanja? Kinachokusumbua ni huo ukanda ila chamoto unakiona. Rudisheni 1.5T mnafikiri nchi inaongozwa kwa mihemko na hisia? Kama imeanza hapo
CAG kasema hakuna trilioni 1.5 iliyopotea, sasa mfuate Zitto umuulize hizo habari alizipata wapi, kabla ya kuja kubweka JF.
 
Wewe kweli lofa, CAG kasema 1.5T hazieleweki zimetumika wapi wewe Bukililo tueleze zipo wapi ?
Mpuuzi wewe, tafuta clip ya naibu waziri wa fedha ambayo anaelezea kila kitu kuhusiana na hizo hela.

Usikubali kushikiwa akili wala kufuata mkumbo wa kila unachosikia, jiongeze kwa kutafuta zaidi maarifa.
 
We kweli mbumbu hujielewi kati ya naibu Waziri na CAG na anatakiwa afafanue kwani ile ripoti imeandaliwa na wizara ya fedha ? Jiongeze dogo hata kama unakula kwa shemeji jua shemeji yako anaishughulisha akili ndiyo maana unapewa hadi hela ya bundle.

CAG kaagiza bunge lihoji matumizi ya hizo fedha we unaleta story gani? Maelezo ya naibu waziri na pole pole we umewaelewa? Hongera juha
 
We kweli mbumbu hujielewi kati ya naibu Waziri na CAG na anatakiwa afafanue kwani ile ripoti imeandaliwa na wizara ya fedha ? Jiongeze dogo hata kama unakula kwa shemeji jua shemeji yako anaishughulisha akili ndiyo maana unapewa hadi hela ya bundle.

CAG kaagiza bunge lihoji matumizi ya hizo fedha we unaleta story gani? Maelezo ya naibu waziri na pole pole we umewaelewa? Hongera ****
Wewe mjinga tu, CAG huyo huyo kakanusha mbele ya rais kuhusiana na tuhuma chafu za Zitto.

Wewe ndio dogo, unaamini kila unachokisikia. Mambo mengine ni ya kitaalam, ukiyawekea siasa utaishia kupotosha watu.
 
We mjinga hujielewi kwa mtazamo wako swali lile ungeulizwa ww kwa mtazamo wako mbele za watu pale ulitegemea jibu gani? CAG repoti ameshatoa kakanusha lini? Kwa repoti ipi mpya? Lile swali ni siasa za kuhangaika tu hakuna jipya pale.

Alafu dogo kwa taarifa yako inawezekana uelewi lolote lile scandal zote zilizopita wanakataa kama hii ya leo na nyinyi makarai mnakuwa kimbelembele hivyo hivyo kutetea ila baada ya muda mnabadilika. Subili tutoe muda utaona tu.

Alafu lile swali aliloulizwa CAG ni tofauti. Hakuna aliyesema kuwa fedha zimeliwa si Zito wala CAG, ila repoti inasema 1.5T matumizi yake hayaeleweki na ameliomba bunge liiulize serikali matumizi ya hizi fedha. Jiongeze dogo usikurupuke kwenye mada usizozielewa. Tatizo la nchi hii ni vijana wa uvccm kuwa na uelewa mdogo.
 
IMG_20180421_082732.jpg
 
Kuna mtu anajiita "Shujaa mjinga" hilo jina limenichekesha sana
 
Kwa yeyote aliyekwisha kufanyiwa audit ana jibu. Zito ni siasa sio hoja.

Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
 
Mpuuzi wewe, tafuta clip ya naibu waziri wa fedha ambayo anaelezea kila kitu kuhusiana na hizo hela.

Usikubali kushikiwa akili wala kufuata mkumbo wa kila unachosikia, jiongeze kwa kutafuta zaidi maarifa.

Taarifa ya naibu wazir wa fedha haitoshelizi kujibu hoja ya CAG, kama hizo data zilikuwepo walishindwaje kuzitoa kwa CAG , someni report ya CAG mlinganishe na huu utetez wa sasa! Mpaka sasa hakuna aliyejibu hoja za CAG
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
Trillion 1.5 imetumika kukomboa ndege Canada, kununua ndege, kujenga Chato Airport, kununulia wabunge, madiwani wa chadema, kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela Wapinzani, na sasa inaendelea kutumika kwa kuwalipa kafulila na Cyprian msiba waje na Uzushi na Propaganda za kishamba na kijinga jinga, huku ikitumika kutengeneza kiki nyingi mpaka watanzania wasahau, Awamu ya Tano ya wasukuma wawili washamba toka kolomije na chato inatumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo kuliko awamu zote tokea Nchi ipate Uhuru.
 
Taarifa ya naibu wazir wa fedha haitoshelizi kujibu hoja ya CAG, kama hizo data zilikuwepo walishindwaje kuzitoa kwa CAG , someni report ya CAG mlinganishe na huu utetez wa sasa! Mpaka sasa hakuna aliyejibu hoja za CAG
Kwa watanzania wa sasa ni vigumu kuwadanganya kama zamani, wananchi wameamka wanajua serikali ya sasa ni waigizaji wakubwa na hawataki kukosolewa hata kama wanafuja pesa za Umma.
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Hakuna anayesema rais kaweka hizo hela mfukoni. Hata Zito hajasema hivyo. Swali hapa ni kwa nini maelezo yaliyotolewa na waziri kwa nini CAG hakuyaona hadi yatolewe sasa? Je maelezo hayo yana nyaraka za kuthibitisha. Maana kama kweli kuna malipo ya sh bn 600 kwa miamala ya serikali haingii akilini CAG kushindwa kuyabaini malipo hayo. Kuna haja ya serikali kutoa maelezo yenye mantiki kuliko hayo yaliyotolewa.
 
We mjinga hujielewi kwa mtazamo wako swali lile ungeulizwa ww kwa mtazamo wako mbele za watu pale ulitegemea jibu gani? CAG repoti ameshatoa kakanusha lini? Kwa repoti ipi mpya? Lile swali ni siasa za kuhangaika tu hakuna jipya pale.

Alafu dogo kwa taarifa yako inawezekana uelewi lolote lile scandal zote zilizopita wanakataa kama hii ya leo na nyinyi makarai mnakuwa kimbelembele hivyo hivyo kutetea ila baada ya muda mnabadilika. Subili tutoe muda utaona tu.

Alafu lile swali aliloulizwa CAG ni tofauti. Hakuna aliyesema kuwa fedha zimeliwa si Zito wala CAG, ila repoti inasema 1.5T matumizi yake hayaeleweki na ameliomba bunge liiulize serikali matumizi ya hizi fedha. Jiongeze dogo usikurupuke kwenye mada usizozielewa. Tatizo la nchi hii ni vijana wa uvccm kuwa na uelewa mdogo.
Mkuu, fuatilia namna ya mfumo mpya wa kihasibu wa acrual basis unavyofanya kazi utaelewa mengi kuhusiana na hizi fedha.

Hayo mengine mengi uliyoyaandika ni siasa zilizozoeleka miongoni mwetu watanzania.
 
Back
Top Bottom