Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Zitto hajakurupuka hawa wengine wanakuja na mihemko na porojo tu mwenzao ana karatasi mkononi ogopa sana maandishi hata uruke sarakasi vipi yatabaki vilevile.
Ushamuuliza zito anafikiri ndege sita cash Rais alikua anatoa wapi hela?
 
Wote waliojaribu kumjibu wameonekana mambwa tu yanayobweka bila sababu...polepole ndo kiongozi wa hayo mambwa yote
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
Uwezo wako wa kufikiri umejifia, acha ujifie tu!
 
Haiwezi thibitika kwamba hizi pesa zimefanyiwa kitu gani mkuu maana serikali ilipewa siku 21 ku justify pesa inetumika kwa matumizi gani na kwa namna gani? Lakini ilishindwa kutoa majibu watanzania hamko makini kufatilia utaratibu wa matumizi ya pesa za umma kama alivyofafanua mama mtumishi wa LAAC na PAC kwa maelezo xaidi cheki page ya mange ya instagram kila kitu kipo wazi kama hauna instagram nenda youtube maana mjadala wa CAG ushafungwa kwa kutokupewa justification ya hizo pesa
Vipi manunuzi ya ndege, ujenz wa hostels, hospital na uwanja huko chato nk Hiyo hela haiwez kuwa imetumika huko?Maana ukisema haijatumika huku simple ni kwamba hela katoa mfukoni mwake.Kwanini mtu useme hela zimepotea wakati tayari unaona kuna matumiz nje ya bajeti na vitu vyenyewe vinaonekana?
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
Asante Sana mkuu [emoji106][emoji106][emoji106],your clarifications is the best
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?

Hivi kinachotakiwa ni hoja kujibiwa au pesa kurejeshwa???

Au kuwajibishwa kwa hao watu

Kuweni serious
 
ukweli husimama wenyewe, ZZK ni mshindi hilo halina ubishi! utambeza tu ila ukweli mchungu unabaki pale pale bilioni elfu moja na mia tano majasho ya wanyonge na walala hoi bongo zimeliwa mchana kweupe! Mungu atuangazie nuru yake na upande wetu manake hatuna pa kukimbilia sasa! ripoti ya CAG iko wazi kwa public na inasambaa kwa whatsapp kwa kila mtu, kila kitu kiko sebuleni sasa! ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, hili ni janga la kitaifa! hizo ni pesa zimevunja rekodi kuwahi kuibwa bongo! Eee mwanamama mwanasheria shupavu uliekalia kiti kikubwa umesikia hili? mbona uko kimya sasa? ni utawala upi wa sheria unaoupigania? anza na hili sasa tuone kweli unapigania uhuru wetu wa binafsi, ila kumbuka mfupa huu ni mgumu mno kuutafuna unatakiwa kujitoa mhanga!.

nadhani wa kupingana na kulumbana nae si ZZK ni kupangua hoja na tuhuma zilizoko kwenye ripoti yenyewe! yani wahusika kusema tu hizo 1.5T ziko wapi na kuweka risiti ya matumizi yake mezani , basi kama hilo haliwezekani basi jibu rahisi ni kuwa zimepigwa na serikali hii ya awamu ya tano na ni wazi kwa wabongo wachache wenye akili kuwa ZZK ni mshindi na Mungu atamlinda hakuna binadamu anaweza kumfanya chochote , binadamu ni viumbe dhaifu kabisa, akifika home jioni yuko hoi hutupa kule masuti aliyovaa mchana kutwa masuti ambayo yametokana na kodi , kodi iliyotokana na kuvuja jasho kwa watu wanyonge basi mabosi hawa kama walivyo mafukara wakulima "hufa" kila siku giza liingiapo (kulala) na siku moja hulala kimya na kuwa baridiiiiiiiii na kulazwa ndani ya udongo na juu yake huwekwa mifuniko ya zege ili hata wakifufuka kwa bahati mbaya wasitoke wasubiri tu huko huko mavumbini SIKU YA KIAMA watakapokamuliwa majasho ya wanyonge na JAJI wa MAHAKAMA KUU ya Mbinguni Allah SW!! kwanza siku zenyewe si nyingi ni miaka sabini ikizidi sana themanini nyimbo mapambio magwaride na mafataki lazima yakuhusu marehemu mtarajiwa, duniani tunapita tu wizi wa nini ndugu zetu wenye vyeo vya kidunia hata Mungu hawajui?

ili tuendelee mbele ni vizuri tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kushindwa! katika hili Mwami ameshinda kwa kishindo laivu bila chenga, na hakuna awezae kumfanya chochote kwakuwa ametanguliza kinga ya Muumba wake. nadhani nia ya Mkulu ndio dira ya maendeleo thabiti na sasa ripoti inataja wizi wote ofisi zote na wote waliohusika , mkulu ajifungie ndani aisome ripoti taratibu na atumbue tu wezi na wazembe wote idara zote, ngazi zote na ofisi zote bila ajizi na kwa reason ya CAG report tu otherwise juhudi zake kuipaisha bongo ni kazi bure mkulu anatumia nguvu kubwa kujaza maji kwenye pipa huku watendaji wake wengine wanamchora wanamcheka na wanamng'ong'a tu kwa kutoboa pipa kwa chini na kufaidi majasho ya wanyonge, kamwe maji hayatajaa kwenye pipa la mkulu!asiangalie ukoo, level, cheo, jina wala sura!mkulu tupa kule majizi na wazembe wote!CCM oyeee!
Vipi zito amekuambia matumizi yaliyofanyika nje ya bajeti mfano ununuzi wa ndege hela zilitoka wapi maana kwenye ripoti ya CAG haipo.Au hizo ndege zimekuja bure au ni hela binafs za jpm?
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Bila shaka hakuna mwizi asiyejua kujitetea hata ukimshika red handed
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?
Hivi hoja ni ya Zitto au ni ya CAG
 
Haya Zito kashinda na kawa rais wa makalai
Suala hili si lakushinda au kushindwa, tunataka kujua fedha zetu shs 1.5 trillion ziko wapi?. Si suala LA zito Bali watanzania tunataka kujua ni jizi gani limesababisha kadhia hii!.
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
The time will tell, li mtu linaropoka tu from no where.... Natoa billion 10 polisi wajengewe nyumba, siyo kitu kibaya lakini watumishi tena polisi, lakn hizi anazozitoa hovyo hovyo kwenye bajeti zipo?
 
Tatizo watu wanamihemuko inayo angalia maslahi ya kisiasa badala ya maslahi ya maendeleo ya taifa ...

Napata wasiwasi sana na uzalendo wa mtu pale anapojaribu kutetea huu upotevu wa pesa zote hizi...

Ikumbukwe CAG kafanya kazi kwa mujibu wa taaluma na sio kwa mujibu wa sera za chama fulani ...

Acheni mzaha jamani lorry tulilopanda linayumba sana na tanki la Mafuta limetoboka matairi hayana upepo ajali kubwa ipo mbele yet au tutakwama safari yetu ...

Dereva a.k.a Malaika Jiwe kaelemewa dhahiri ngoma imemshinda twafaaa ...
Issue hapa ni kwamba pesa hazionekani katika bajeti iliyopitishwa na bunge. Je ni kweli fedha hizo zimepotea kama wanasiasa wanavyotaka kutuaminisha? Au zimetumika kwenye matumizi mengine ya Serikali. Na kama zimetumika kwenye matumizi mengine ya Serikali, je matumizi hayo yana maslahi gani kwa taifa? Haya ndo.maswali ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuanza kuweka hisia zetu.Maana inavyooengelewa as if labda zimeingia mfukoni mwa mtu.
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
sijui ulitaka nani anyoshewe kidole kama sio magufuli? hivi unajua kuwa ktk ukaguzi wakaguzi wanaandika hoja baada ya kuona kuwa hakuna maelezo yyte ya kuhusu kosa walilo libaini-kama kungekuwa na maelezo toka kwa wahusika kama katibu mkuu wa fedha kipindi cha ukaguzi basi leo kusingekuwa na hoja hiyo ya upotevu wa pesa.kwa lugha rahisi ni kuwa katibu mkuu wizara ya fedha au mlipaji mkuu wa serikali kwenye kipindi cha ukaguzi hakubaisnisha matumizi ya pesa hiyo kwa wakaguzi
 
Tulia sasa. Mtapata majawabu toka PAC
mkuu kama hujui taratibu za hoja za ukaguzi sema ufahamishwe na sisi tuliopo huku tutakufahamisha! hayo majibu ya PAC bado yatakuwa fake-unapaswa ujue kuwa mpaka CAG anatoa hoja kwa umma maana yake alikosa majibu sahihi kutoka kwa wahusika.sasa swali la kujiuliza kama walengwa walikosa majibu sahihi ya kumpa CAG-kipindi cha ukaguzi ni nani ambaye anayo? na lingine ni kwa nini waliyakosa majibu ya hoja?
 
Walianzia kwenye watu kujeruhiwa kuuwawa huku wakisingizia kuwa ni watu wasiojulikana. Sasa wamehamia kwenye makusanyo yetu kuwa nayo hayajulikani yalipotokomea. There is something fishing here !
 
Vipi manunuzi ya ndege, ujenz wa hostels, hospital na uwanja huko chato nk Hiyo hela haiwez kuwa imetumika huko?Maana ukisema haijatumika huku simple ni kwamba hela katoa mfukoni mwake.Kwanini mtu useme hela zimepotea wakati tayari unaona kuna matumiz nje ya bajeti na vitu vyenyewe vinaonekana?
Hio umehisi wewe ila point ni kua serikali ilipewa siku 21 na kamati ya PAC na LAAC kupelekea uthibitisho wake lakini wakashindwa hivyo hio pesa haijatumika huko sababu kama ingetumika huko ingeweza kua justified na CAG angeenda kukagua kama ni kweli zimetumika kwenye vitu ulivyoviorodhesha napata picha hujaangalia alichokisema mjumbe wa PAC na LAAC sababu ungelimwelewa vizuri hivyo usingekuja na hizo guesswork zilizoshindwa kua justified na serikali
 
Back
Top Bottom