Hakika ndoa kwa sasa ni ngumu mno

KATAA NDOA, LINDA UHURU WAKO
FB_IMG_17059293200749840_1.jpg
 
Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya.

Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunavyoishi Waafrika ni tofauti na zamani, hatuishi kama zamani za mababu na mabibi zetu, mila na desturi zimetupwa kule, wakumlaumu hakuna, ni gurudumu la maisha linavyotupeleka, wenyewe linatuchanganya hasa WANAUME, Wanawake wana Uhuru zaidi, hili hasa ndilo tatizo linalotuvuruga WANAUME, inabidi tukubaliane nalo au lah..
Ni shidaaa kwa Midume..💬💭🤔😔
 
Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya.

Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikosa elimu ya hekima kifamilia basi elimu zingine zote ulizonazo ni bure maana unapambana kimaisha sababu ya familia yako ya leo na kesho.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom