Hakika ndoa kwa sasa ni ngumu mno

Hakika ndoa kwa sasa ni ngumu mno

Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya.

Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kuingia kwenye taasisi bila kuwa na muasisi ni changamoto kubwa. Ndio sio trial and error scheme.
 
Mwanamke ni mama wa nyumbani, hii mbinu ya 50/50 ni mpango wa mpinga kristo katika kupotosha jamii,
Na hii mbinu ya kusaidiana majukumu nayo ni ovyo, mwanamke kazi yake ni kutunza familia,
Mwanaume akiongea mwanamke yeye ni kusema ndio, inafika hatua mpaka wanawake wanakuwa Marais hii ni dharau
 
Ukifuatilia hizi kesi za kweli ,utakuja kugundua wle jamaa wa kataa ndoa wana point ..Tena ni watu wanaongelea uhalisia kabisa.

Ukianza kusema hapa mke abaki nyumbani balaa litaanza sijui haki sawa.

Basi kweny haki sawa ndoa za mke na mume hakuna labda jinsia moja
Mmeanzaa sasa za jinsia 1 zinahusu nn? Hivi nyie huko ndoa zenu za jinsia tofauti hamuwezi kuzungumzia kivyenu hadi muhusishe za jinsia 1?
 
Akili za darasani haziongozi ndoa.

Ndoa /mahusiano yeyote Yale to compromise is inevitable..

The question is who is ready to ... Mwanaume wa kiafrika /Mwanaume yeyote yule ambaye ni mwanaume kamili Acompromise ? Awe chino ya ke...

It's absurd
 
Akili za darasani haziongozi ndoa.

Ndoa /mahusiano yeyote Yale to compromise is inevitable..

The question is who is ready to ... Mwanaume wa kiafrika /Mwanaume yeyote yule ambaye ni mwanaume kamili Acompromise ? Awe chino ya ke...

It's absurd
Ndivyo wanavyofundishwa na wanaume wasengerema akina mauki na wanawake wa beijing akina shoboka..
 
Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya.

Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taja sababu ya mpango kuvunjika ili na wengine chipukizi wajifunze. Kama jamii haijifunzi kitu kutokana na bandiko lako hili halina maana
 
Wewe binti yaani kaa kimya!.

Ni vile wamama wa kiislam wamebanwa midomo na hasira za imani hawawezi kufunguka kuhusu indoor Ndoa issues, vinginevyo kaa kimya kabisa.

Leo unaia kesho jioni talaka Ramadan inakuja Ndoa fasta ikiisha ...., unajua kinachofuata.

So kwenye hili jambo usilete ujuaji.
Huujui Uislam.

Hakuna mwanamke mwenye uhuru na haki kwenye ndoa zaidi wa Kiislam.
 
Sasa usafi wa hiyo dini uko wapi kama ubaguzi uko juu kiasi hicho!! kwamba km mm sio muislam siwezi oa muislam???kwani muislam yy katoka sayari ipi ama ana kipi spesho kuliko asiye muislam ama wao hua hawafi ama kuumwa yaan wana kipi spesho tofauti na mpagani maana km kusema kuachana nadhani hapa tz waislam ndo wanaongoza maana unakuta binti ana miaka 20 tayari ana ndoa tatu.
Uislam ndiyo uliokuja kuodowa ubaguzi duniani.

Inabidi uusome Uislam, usiuogope.
 
Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya.

Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchagga na Mhaya?

Sijui kwanini watu wanashindwa kuoa au kuolewa kwao?

Sijui ni kutojiamini au kutojipenda as a group of people?

Hizi ndio shida zenyewe,they should blame themselves for what is happening to them.
 
Sijakuelewa.

Muislam mwanamke halewi isipokuwa na Muislam.

Muislam mwanamme kuna hitilafu ya Maulamaa, wengine wanasema anaweza kuoa mwanamke wa Kikristo au Kiyahudi anaefata dini yake, wengine wanasema siku hizi hawapo hao. Iliyobaki akili mu kichwa.
Kwahiyo dini inakupangia wa kupenda hapa duniani?

Yaani wanadamu wawili wenye upendo kati yao eti dini inasema usimpende?

Dini imejaa divisions hiyo,what a loss!

Ndio maana wote wanaopenda dini au kuamini kuna deity anaitwa Mungu hua ni majinga tu regardless yapoje

Fala kabisa
 
Hakuna mwanamke aliye huru kwenye ndoa zaidi ya WaKiislam, hakuna "pingu za maisha" katika Uislam.
Uislam ushaharibu ubongo wako.....

Huwezi fikiria na kufanya maamuzi independent kama mwanadamu creative mpaka ujipake uislamu hadi matakoni

Huwezi kuongea maisha bila kuchanganya dini talk?

Be independent wewe......stop injecting Mohamed in every talk,stand with your own two!
 
Back
Top Bottom