FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Sijakuelewa.Anhaaaa!Kumbe nako kuna kuachana.Haijalishi ni dini au imani ipi!
Muislam mwanamke halewi isipokuwa na Muislam.
Muislam mwanamme kuna hitilafu ya Maulamaa, wengine wanasema anaweza kuoa mwanamke wa Kikristo au Kiyahudi anaefata dini yake, wengine wanasema siku hizi hawapo hao. Iliyobaki akili mu kichwa.