Hakika ndoa kwa sasa ni ngumu mno

Hakika ndoa kwa sasa ni ngumu mno

Uislam ndiyo uliokuja kuodowa ubaguzi duniani.

Inabidi uusome Uislam, usiuogope.
Upo confused

Uislamu umeondoa ubaguzi,hapo hapo unageuka eti hakuna kupenda au kuoa mwanadamu asie muislamu,huo sio ubaguzi ni nini?

Dini has corrupted yo'brains out,yall cant think lindependently and reason out as a human being!

Yall full of contradictions and confusions
 
Wewe mfano ulitaka kuwe na kipi mkuu
Mi siko interested na hiyo taasisi kwa Sasa, na sidhani hata Kama wishfully thinking yangu itasadia.
👉But watu Wana paswa wawe committed, sio kuunganishwa kwa sababu ya kubalance account sheet.

Ok mme elewana kwa sababu both of you got good numbers, vipi kuhusu malezi???
Moyo na akili ya kutofautiana kimawazo baina yako na mwenzio??

Kuna watu Jadda ni machizi na wapigaji, licha ya kwamba Wana good financial stability.
 
Mkuu ebu jaziajazia nyama kidogo
Mwanamme kuna sehemu unafell! Mke anamilikiwa! Kama huna nguvu za kummiliki mke hata ukioa darasa la saba humuwezi! Sembuse msomi tena binti wa kihaya?? Chezea weee!
Kumiliki Kwa namna ipi? una kitu Cha kutufunza
 
Mi siko interested na hiyo taasisi kwa Sasa, na sidhani hata Kama wishfully thinking yangu itasadia.
[emoji117]But watu Wana paswa wawe committed, sio kuunganishwa kwa sababu ya kubalance account sheet.

Ok mme elewana kwa sababu both of you got good numbers, vipi kuhusu malezi???
Moyo na akili ya kutofautiana kimawazo baina yako na mwenzio??

Kuna watu Jadda ni machizi na wapigaji, licha ya kwamba Wana good financial stability.
Sasa kwenye suala la malezi mbona mkiambiwa muoe wanawake wasiosoma na wasio na vipato ili wawe mama wa nyumbani watimize majukumu yao na kulea watoto hamtaki mnasema ni magolikipa
 
Sasa kwenye suala la malezi mbona mkiambiwa muoe wanawake wasiosoma na wasio na vipato ili wawe mama wa nyumbani watimize majukumu yao na kulea watoto hamtaki mnasema ni magolikipa
Madam siko kwenye kundi Hilo, na hata misimamo yangu kuhusu ndoa.
👉Bado sija I reveal out, ila ukweli ni kwamba hizi ndoa za zama hizi 1995 -2000 ni kasheshe 🤒😄
 
We jipange kama una mke kakuzidi kati ya hivyo viwili ujipange siku yako yaja, mwanamke always is seeking for high value male, huko kazini akitokea mwenye kipato kukuzidi imeisha au ushuke kiuchumi ndipo utaona utamu wa mapenzi ,utarudi hapa ukilia kama mbuzi ukiomba ushauri.

NB,i, sinaga muda na malaya.
😂😂😂 chakushangaza unaanza kunitisha wakati haturingani hata umri. Na vijana wanavitaja hivyo vitu kwasababu hawajawahi kuwa navyo, ungevipata ungejua kwanini Bill na Melinda Gates waliachana. Utawaita wanawake wote malaya kama hujavipata na pia unavisujudu hivyo vitu😂😂. Pesa itawazuzua vibaya sana chakushangaza mtavipata na bado ndoa zitawashinda kama wazungu zinavyowashinda sasaivi. Halafu nani kakwambia uchumi wangu ni haba, vijana na fantasies, imezidi aisee. Mkue
 
Mwanamme kuna sehemu unafell! Mke anamilikiwa! Kama huna nguvu za kummiliki mke hata ukioa darasa la saba humuwezi! Sembuse msomi tena binti wa kihaya?? Chezea weee!
sasa hoja yangu ni wachumba ambao walikuwa wakijadiliana masharti ya kuoana,dakika za mwishoni wameshindwana,sio kwamba wameshindana kwenye ndoa
 
Wajaribu hili la waislam,walale vitanda tofauti kwa mwezi mmoja bila kugusana,wakimaliza walale vyumba tofautu wakiweza haya.
 
Huujui Uislam.

Hakuna mwanamke mwenye uhuru na haki kwenye ndoa zaidi wa Kiislam.
Shida siyo kuujua au kutojua uislam bint yangu.

Hapa tunaongelea kwenye real field ambako huko ndiko maisha yapo, wanawake wa kiislam wananyamyasika sana upande huo.

Na nikwambie tu, walio wengi hawapendi ndoa za wake wengi (wanaumia sana) sema dini ndiyo inawafanya waugulie nafsini.

Unaweza kutetea sababu you're a muslin but huo ndiyo ukweli unaoishi.
 
Kama hapendi au anapenda siyo maamuzi yake, haelewi faida zake.
 
Back
Top Bottom