Hakika kikulacho kinguoni mwako:!

Sasa huu ni utetezi gani?

Kila mwaka vyuo vinatoa wasomi wangapi? elimu waliyoipata imewasaidia nini? je serikali zetu zinawasaidiaje? akitokea mtu kuwarubuni kwa pesa nyingi watakataa? huyu gaidi wanayedai ni mtanzania naye ni msilamu? usiangalie ulipoangukia mkuu angalia wapi ulipojikwaa ukosaji wa ajira kwa vijana nao unachangia sana
 
inaonekana wakati hunaajira watu walikula sana tigo yako... utetezi wako ni cheap kabisa..alafu nani kakwambia sio muislam kama tatizo ni jina wapo wakristo wengi tu wenye majina ya kiislam,na pia wapo waislam wenye majina ya kikristo na mifano hai ninayo..huyo jamaa ni muislam huwezi mpata mkristo gaidi kwaajili ya kuupigania uislam hata kama kuna tatizo la ajira kiasi gani
 
Uislamu haukwepeki hapa, tuache masihara, wanafunzi waliouliwa kenya walishindwa kurecite quran kuthibitisha kuwa ni waislamu!

Kama ni hivyo wakija bongo wataua karibu watu wote. Maana bongo dini zimebaki midomoni tu
 
Gaidi ni..A person, group, or organization that uses violent action, or the threat of violent action, to further political goals (According to my English dictionary)..tuache kuingiza dini kwenye swala la ugaidi. Tudumishe utaifa wetu.

YES...lakini katika miaka ya sasa ni vigumu sana kutenganisha uislamu na ugaidi...muslimu scholars (kama Sheikh Ponda) need to come out and distinguish...today Islam and terrorism are one bed fellow.
 
hapa ni lazima viongozi wa dini wanahusika moja kwa moja kwa kuwalisha sumu mbaya sana waumini juu ya watu wengine,

kuhubiri chuki,na kuwadhuru wengine kwamba ni thawabu,kwa Mungu,sasa haya ni matokeo ya mafundisho ya viongozi wa dini kwa waamini wao,maana kila kitendo chochote cha mwamini kinatokana na halichofundishwa na kiongozi wake,

hata hapa kwetu tayari pole pole mbegu ihi mbaya ya chuki imeshaanza kupandwa,

sasa ni wajibu wa serikali kuangalia ikitu kwa makini na kuchukua hatua kabla hatujachelewa,
 
Umeanza kukosa uwezo wa kufikiri, sasa kuwachukia waislam wote ndo nini unataka kusema, unaanza ubaguzi wa kidini?

Wachukie Al-shabab ndo walifanya mauaji sio uislamu.

Be careful COMMON SENSE IS NOT COMMON
ni heri basi tuone Waisilamu wangine wangepinga tukio hili kimya, ingekuwa ndege za Israeli palestina ungeona maandamano kila kona
 
Nilisikia wakenya wanalalamika kuwa Alshabaab wanarecruit graduates wakati jeshi lao linarecruit standard 8 failures.
 
Nilisikia wakenya wanalalamika kuwa Alshabaab wanarecruit graduates wakati jeshi lao linarecruit standard 8 failures.

Mkuu hapa tatizo moja kwa moja inaonekana kuna utofauti mkubwa sana wa malipo. std 8 hawezi kulipwa sana na graduate.

Kama Al shabaab wameweza kuwalipa graduates pesa za kutosha, wategemee zaidi nini?
 
yupo na sonko??????????

yes mkuu hapa alikuwa na tajiri mike sonko.

Ana uso wa kitaratibu sana, tabasamu la upendo, lakini wataalamu wa kupandikiza chuki na roho za mauaji wamembadili kabisa kijana mwenzetu!!!!

Shame on them...
 
inaonekana wakati hunaajira watu walikula sana tigo yako... utetezi wako ni cheap kabisa..alafu nani kakwambia sio muislam kama tatizo ni jina wapo wakristo wengi tu wenye majina ya kiislam,na pia wapo waislam wenye majina ya kikristo na mifano hai ninayo..huyo jamaa ni muislam huwezi mpata mkristo gaidi kwaajili ya kuupigania uislam hata kama kuna tatizo la ajira kiasi gani

Shika adabu yako we mtoto tena ukome kuandika upuuzi kwa watu usiowajua. hapa sio FB kwa watoto wenzio. tatizo umezoea kuliwa tigo na.baba yako ndio maana hata posti zako hazina maana
 
Not e religion matters, just a game for those who disbeliever...
 
Back
Top Bottom