• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hakika kikulacho kinguoni mwako:!

Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,812
Points
2,000
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,812 2,000
Inasikitisha sana!
Huyu ni kijana msomo kabisa tena elimu ya sheria kutoka chuo kikuu cha Nairobi. Ni mmoja kati ya wale magaidi wa Al shabaab waliopoteza maisha ya watu 147 katika chuo kikuu cha Garissa.

Bado najiuliza swali,

Hivi hawa watu huwa wanalishwa nini mpaka wanafanya haya? Pamoja na kuwa na elimu kubwa hivi lakini kashawishika?

Is it religion matters or what?

 
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,812
Points
2,000
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,812 2,000
Hafanani kabisa na tukio alilofanya...

 
P

peace.peace14

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
214
Points
0
P

peace.peace14

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
214 0
Ni Nguvu Ya majini itendayo Kazi si yeye
 
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Messages
5,993
Points
1,250
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2013
5,993 1,250
Elimu haijamkomboa kabisa.
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
8,186
Points
2,000
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
8,186 2,000
I hate all muslims for the rest of my life
Umeanza kukosa uwezo wa kufikiri, sasa kuwachukia waislam wote ndo nini unataka kusema, unaanza ubaguzi wa kidini?

Wachukie Al-shabab ndo walifanya mauaji sio uislamu.

Be careful COMMON SENSE IS NOT COMMON
 
M

Mwembebasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Messages
1,425
Points
1,225
M

Mwembebasha

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2013
1,425 1,225
I hate all muslims for the rest of my life
Hapana. My best friend for better and worse is a Muslim. wapo wengi tu we ye upendo, achana na hawa wachache akina FaizaFoxy, Ritz, kahtaan etc
 
A

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Messages
2,019
Points
2,000
A

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2013
2,019 2,000
Huyu gaidi hakufanikiwa kumaliza shahada yake ya sheria!!!
alishamaliza alikuwa anasubiria kufanya bar examination ili awe advocate.
 
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Messages
5,993
Points
1,250
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2013
5,993 1,250
Huyu gaidi hakufanikiwa kumaliza shahada yake ya sheria!!!
Kiswahili nacho kigumu aisee!!! waposema alisoma maana yake alimakamilisha, wanatuchanganya. alikua anawahi kujitoa muhanga lol!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,402,689
Members 530,969
Posts 34,402,352
Top