barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,584
Elimu haijamkomboa kabisa.
Ukianza ma msingi wa madrasa, ushavuruga, hata uwe prof, ustadh akikwambia vaa mkanda, inavaa!
Elimu haijamkomboa kabisa.
Hii ni siasa wala sio mambo ya dini
Umeanza kukosa uwezo wa kufikiri, sasa kuwachukia waislam wote ndo nini unataka kusema, unaanza ubaguzi wa kidini?
Wachukie Al-shabab ndo walifanya mauaji sio uislamu.
Be careful COMMON SENSE IS NOT COMMON
Kama ukristo tu ata usome vipi utaamini yesu ni mungu na gwajima ni mtume wake
Gaidi ni..A person, group, or organization that uses violent action, or the threat of violent action, to further political goals (According to my English dictionary)..tuache kuingiza dini kwenye swala la ugaidi. Tudumishe utaifa wetu.
I hate all muslims for the rest of my life
Afadhari uamini hivyo ila HAUUI watu wa dini nyingine wasio na hatia!
I hate all muslims for the rest of my life
I hate all muslims for the rest of my life
Mwache atuchukieHapana ndugu, usiwachukie waislam wote, ndani yao wapo waislam wema na wanapinga ujinga huo. be cool.
Uislamu haukwepeki hapa, tuache masihara, wanafunzi waliouliwa kenya walishindwa kurecite quran kuthibitisha kuwa ni waislamu!
Soma posti. Wanasema ni mmoja wa magaidi waliouawa huko Garissa.Huyo jamaa ni nani kwani
Soma posti. Wanasema ni mmoja wa magaidi waliouawa huko Garissa.
Huwezi jua inawezekana ndiyo matarajio ya wazazi wake.Elimu yake,,jasho la wazazi wake kulipa ada,juhudi zake katika Mason I,matarajio ya wazazi vimekwenda na maji...
Hafanani kabisa na tukio alilofanya...